Recent content by Kuhara

  1. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Member waliopotea JF

    Kuhara
  2. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Aiseee [emoji13][emoji13] Trako swafi
  3. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume miaka 30 bado unaishi kwenu, huna hata godoro. Jiandae kufa masikini

    USA [emoji631] Mpaka T-Z.
  4. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ARV

    Mgonjwa akitumia ARV kuanzia miezi mitatu inasemekana Hawezi tena kuambukiza kwenda kwa mwingine na hii inatokana na ARV kufubaza Virusu vya Ukimwi(VVU) na ndio Maana Cd4(Kinga ya Mwili) inaonekana Kupanda Over.
  5. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yana run dunia

    Mapenzi yanaweza Kukuumiza na Usifahamu Wapi panauma.
  6. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

    Papaa Masai Yule alifanya vizuri na Nyimbo ya Ng'aring'ari akimshirikisha Alikiba. Uyu jamaa nilikutana nae pale Chochoro za Temeke kwa Wahaya akiwa speed sana.
  7. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    Natumia chips dume pekee
  8. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NSSF Mtwara huchukua namba za wateja na kuwaomba rushwa

    Ilo si dhumuni la kuleta hapa taharifa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NSSF Mtwara huchukua namba za wateja na kuwaomba rushwa

    Habari na kheri ya mwaka Mpya JF japo stress zimetawala. Naomba kwenda katika point direct, NSSF Mtwara kuna wahudumu wachache huwa wanaenda Mapokezi na kupiga Picha Namba za simu za wateja walioingia pale hiyo Siku katika kitabu cha wageni na kisha kuwapigia huku wakinukuu personal information...
  10. Kuhara

    JamiiForums Tanzania NIDA Tafadhari.

    Sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kuhara

    JamiiForums Tanzania NIDA Tafadhari.

    NIDA Kuna Jambo linaendelea katika simu za Wananchi ambao Hawajasajiliwa na hata kujiandikisha ili Wapate Namba Ya Uraia Wa Tanzania, Nalo ni Wanapokea Ujumbe Wenye namba za Uraia tokea NIDA na wanafurahia kufikiria Mumeamua kuzigawa kwa Mtindo huo Pasipo jiandikisha ama lah na Mwisho wa siku...
  12. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mpenzi wako wa zamani

    Unatuletea story za Ngoswe Mkuu kutaja majina yake matatu umeshindwa kwani ingewezesha kupitia ilo jina la tatu zoezi kua jepesi By kuhara Over.
  13. Kuhara

    JamiiForums Tanzania Window Period for HIV

    Habari za saa hii hapa JF, Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine...
Back
Top Bottom