Recent content by Kugeuka

  1. Kugeuka

    KASP Virus (.KASP File)

    Huyu jamaa anafanana na NESA,nilihangaika sana,hadi humu niliomba msaada,ila hollaaaaa,ikabd ninyooshe mikono,kuna kazi za watu ikabd nirudie kwa gharama zangu
  2. Kugeuka

    GE2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

    Usilolijua au kua na uhakika nalo usilisemee. Nina ushahidi kwa upande wa walimu.
  3. Kugeuka

    GE2020 Kama unajisikia uchungu kwa ushindi wa CCM mwombe Mungu akuponye na hii hali

    Kama kweli una hofu ya Mungu,nenda katubu mbele zake kwa kumtaja na kunajisi jina lake.
  4. Kugeuka

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Umesahau BBS Songea,alikua anakimbizana na KISWELE
  5. Kugeuka

    Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

    Mzee Kiduku upoooooo,hahahahahaaaaaa
  6. Kugeuka

    Serikali ifungue shuleni, watoto wanaharibika mtaani

    Umeshangaa nilichoshangaa mimi!! Mtoto ni wakwako wewe anakushinda,unampelekea Mwl ili amnyooshe,amuweke kwenye njia sahihi na maadili mema, lakini upande wapili huwa tumawaponda sana walimu ilihali ndio wanao kaa na watoto wetu kwa masaa mengi kuliko sisi wazazi. Kufungua shule siyo kigezo cha...
  7. Kugeuka

    Kuhamisha pesa kutoka M-Pesa - CRDB

    Kwa maelezo haya,basi kuna uzembe mahali na siyo kama kuna usumbufu. Km ulimpata mtu akakusaidia na ukaipata pesa yako,why kwingine kuwe na usumbufu kiasi cha kukatisha tamaa? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kugeuka

    Natamani kuuza kila kitu nilicho nacho japo kabla sijawa navyo vilikuwa ni sehemu ya ndoto zangu ila sasa vimegeuka mateso

    Awali ya yote nkupe pole Mkuu!!! Laakini la pili nikupe hongera kwa kufanikiwa japo kwa kiasi flani kufikia lengo lako ktk maisha.Tatu,nikupongeze kwa kuoa na kua na familia yako unayoijali,kuipenda na kuithamini pia. Lakini la mwisho,USIUZE MALI ZAKO.Hapa utafanya kosa kubwa sana ktk maisha...
  9. Kugeuka

    Mshahara ukifungwa unapata salary slip?

    Habari za usiku waanajamvi. Naomba kuuliza,kama mshahara umefungwa unaweza ukapata salary slip? Na km ukipata inakua imeandikwa nini? Maana nina jamaa yangu,alifungiwa mshahara kama miezi saba hivi,akasolve ishu yake ikaisha mshahara ukaanza kuingia. Cha ajabu ameangalia salaryslip za miezi...
  10. Kugeuka

    Tuliooa Drama Queens tukutane!!

    Nimecheka sana mamaaaae!!! Achana na Karma ti,yaani namna alivyoumbuka. 2019 yupo Australia,ila 2020 january kapost akitafuna mke wa mchunhaji Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kugeuka

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Nikweeli kiongozi,walitest mitambo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom