Recent content by Kugembemaguha

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi VETA, Mbeya inatoza wanafunzi michango na vyakula

    Kero yangu ni kuhusu michango inayotozwa wanafunzi wa Shule ya Msingi VETA iliyopo Mbeya Mjini Wanafunzi wanatakiwa kuchangia: Shilingi 5,000 kila mwezi; Shilingi 1,000 kila wiki; Shilingi 20,000 (mchango mwingine); Mchele kilo 10; na Maharage kilo 7. Naomba kufahamu, je, michango hii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Maandamano halali yana masharti, watu wanasema Polisi wameua watu lakini polisi hawakuamka tu wakaamua kuua

    Nadhani karibu mkuu ameongea vizuri, hata hao vijana hawa kuamka tu wakaingia barabarani. Serikali itafute au iseme kilicho waongoza barabarani ili kitu kama hicho kisijirudie tena. Maana kuua watu wako hata kama ni wahalifu haina afya.
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kero RITA: Fedha zetu zinaliwa bila huduma?

    Sina hakika na hili. Maana ninavyojua mfumo wa RITA huwezi lipia mara mbili kwa huduma moja ila ukilipa mara ya pili itakuongezea huduma ya pili maana yake mpendwa hapa ulijichanganya mwenyewe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za chuki si siasa, ni tishio kwa mshikamano wa Taifa

    Kama ni kauli za kisiasa tu hakuna tatizo. Tatizo ni pale siasa zinapochanganyikana na hisia za kikabila au kidini na upendeleo wa moja ya makundi hayo
Back
Top Bottom