Recent content by kuchkuch hotahe

  1. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

    Nmejaribu kufuatilia mahojiano yake na vyombo vya habari... Jamaa anaongeaga point tu. Sjui kwa Nini watu wanapenda kuangapia upande hasi..
  2. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania Fursa ( Digital currency) mwaka 2025

    Habar ndugu nipo hapa kuwashirikisha fursa hii ya digital currency ( PI coin) mpya ambayo inaingia sokoni rasmi kuanzia tarehe 31.1.2025 Ndugu zangu Coin hii ni rahisi Sana kuipata Kwan unaipata kwa kutap kitufe kwenye app yake inayoitwa pi Mara you baada ya kujisajiri, Thamani ya pi coin...
  3. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Eti Application ya ajira portal inafanya kwazi kwenu huko????????
  4. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    ndugu zangu tusikate tamaa tutapata tu.
  5. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    NENO NA KINABIIII.... nalipokea .
  6. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

    Tangazo linaajieleza
  7. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    ba hongera sana ukawe mtumishi mwema aisee.
  8. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Hata mimi wamenicheki leo jamaa halaf wakanilipa ten chap....
  9. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sekretarieti ya Ajira FANYIENI KAZI HILI.
  10. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umeongea vyema sana kiongozi binafsi naumiaga sana ninapoona wadau wanapangiwa kazi halaf wanataka kuhama.. Wakati sisi ma jobles tunatamani sana hizo fursa ili tuwatumikie wananchi kikamilifu.
  11. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    hongera sana zai
  12. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Maafisa mifugo mkeka wao bado unatamba naona wanazidi kulamba asali..... ma cdo naona ushakata.
  13. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naona TanRoad wametangaza kazi.. ila unatuma kwa po,box, hii ina maana wameshaanza kuajiri wenyewe Au hawaeleweki.
Back
Top Bottom