Ndgu zangu mnao dai kuwa hawa ni watetezi bado hamjawajua wanasiasa,nashauri tufanye kazi ya kutuingizia vipato.
Hao CDM hata wakipewa madaraka leo ya kuiongoza nchi mtalia na wengi mtarudi hapa na kusema bora CCM kuliko hawa manyang'au ya CDM.
Subirini mjionee
Naunga hoja,watanzania kuweni na adabu.
Paschal hapo kuna safari ndefu kufika,maana kama viongozi wa dini ndo wanatoa maneno ya shambo kiasi hiki itakuwaje waumini wao
Muwaambie kuwa ameenda kinyume na katiba ya nchi na wala wao siyo mahakama ya Tanzania,kuendendelea kuongelea mambo yasiyowahusu ni kuthibitisha kuwa wao ndo walimtuma.
Muwaambie kuwa hata wafanyeje hatumwachii,hadi mahakama za Tanzania zitakapo amua hiyo kesi yake
wazee leo ndo wanaonekana wenye hekima na upendo,rejelea mmoja akiwa mkuu wa mkoa fulani alivokuwa amejawa na visasi vya ukabila na chuki dhidi ya makabila ya huo mkoa na mwingine kama sijakosea akiwa nipiemu
Mimi napingana wa hao wawekezaji,u akuja kuwekeza kwenye meme ujenge miundombinu ya kusafirisha meme kwenda kijiji kipi ambacho hakina meme?.
Ninachokiona umeme wa Serikali bei itapaa huku wa mwekezaji ukishuka bei ili wananchi wengi watumie wa mwekezaji maana huyo mwekezaji si wa kutoka nje ni...
Hivi huyu Lisu ni Mungu katika nchi hii?.
Pumbavu kabisa,uchaguzi uahirishwe kisa TAL!!!!!!!.
Natamka leo,kama utaahirishwa kwa sababu Lisu na Heche walidai mabadiliko nitawachukulia watz wote kama mi.....k....ndu......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.