Recent content by KUCHILI

  1. K

    Vincent Mashinji: Kuweni waangalifu kwani kuunda jeshi si kazi kubwa sana kama mnavyodhani

    Ona ni jinsi gani hata wanavyotumia pesa zetu vibaya kwa faida ya wachache.....Kwa namna hii kunahaja ya kulipa kodi kweli? Tumepotea njia nani wakuterejesha kwenye njia kuu?
  2. K

    Kigoma: Mkuu wa Wilaya ya Kasulu avuliwa ukuu wa wilaya na kurudishwa kazi ya awali jeshini

    Askari kujihusisha na siasa kwako ni sawa? Au mahaba yamekupiga upofu?
  3. K

    Vitendo vya Kichokozi vya UKAWA ni kuishiwa hoja

    Ninamashaka na uelewa wako
  4. K

    Waziri wa kilimo na chakula, kauze chakula ; President of Malawi declares flood & drought emergency

    Mleta mada hivi ni kweli hujui Rais wa Malawi Kwa sasa ni nani?
  5. K

    Jenista na Ummy kwanini hospitali ya mkoa wa Songea haina huduma ya X-RAY?

    Duh siasa zetu hizi kweli ni shida. Mkuu wa mkoa anamacho lakini hili halioni. Swali, hawa viongozi waliopo ndani ya mkoa wanatibiwa wapi?
  6. K

    Jenista na Ummy kwanini hospitali ya mkoa wa Songea haina huduma ya X-RAY?

    Ni jambo la kushitua na kustajabisha kwa hospitali tunayoiita ya mkoa wa Songea inakosa huduma ya X-RAY. Waziri wa kazi Jenista na Waziri wa Afya Ummy ni kweli hamlifahamu hili? Jana sikuamini kusikia taarifa hii kuwa hospitali ya mkoa eti haiwezi kutibu majeruhi wa ajari kwa kuwa walikuwa...
  7. K

    Hivi kwanini Interejensia ya Police Haifanyi kazi ktk mauaji ya Alubino?

    Imekuwa ikisikika mara kwa mara pindi vyama vya upinzani vinataka kufanya mikutano au maandamano,Polisi wakisema wanataarifa za kiinterejensia kuwa kutakuwa na uvunji wa amani.Na basi kuamuru chama husika kutokuendelea na huo mkutano au maandamano yalipangwa kufanyika. Kwangu imekuwa ngumu...
  8. K

    Jenista Mhagama aiteka Songea Vijijini

    So kipi cha uwongo kati ya hivyo? Au ndio na ww unatumika?
  9. K

    Jenista Mhagama aiteka Songea Vijijini

    Wachawi siyo lazima waruke na nyungo.Huyu mama nikati ya watu waliowaingiza wakulima wa jimbo lake kwenye mkata wa kinyonya eti "Wanakubali kuuza mahindi kwa mkopo na wanaapa kuwa hawatadai pesa zao wala kuandamana ili kushinikiza walipwe" Ameharibu vijana kwa kuwazamisha kwenye ulevi baada...
  10. K

    Anna Kilango alipwa fadhila kwa kumuokoa Pinda na ESCROW

    Bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa uteuzi uliofanywa jana wa mawaziri haukuzingatia uwezo wa mtu bali ni mchango gani mtu alitoa ktk kuiokoa serikali ktk sakata la escrow,mfano Anna Kilango kumuokoa Pinda.
  11. K

    Rais Kikwete, simama kama Rais wa nchi na si Mwenyekiti wa CCM

    Mahindi ya wakulima yamezagaa mtaani hayana soko,ufisadi umezidi kuongezeka,mateja wameongezeka,nchi haieleweki inakoelekea.Kwahayo machache huoni kama nchi imekwama?
  12. K

    Jenista Mhagama (mb) jimbo la Peramiho afadhili vilabu vya pombe Madaba

    INGEKUWA ANAJALI MAENDELEO YA WANANCHI WAKE ASINGEACHIA WAFANYABIASHARA WANUNUE MAHINDI KWA WAKULIMA KWA KILO SHILINGI 150/ NA WAO KUUZA KWA SERIKALI KWA SHILINGI 500. Ni mbunge dhaifu na asiyejitambua wajibu wake.
  13. K

    Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    Mwampamba jina lako na maneno yako hayaendani. Jazba,kiburi,hasira,matusi ha,majivuno hayo yote ni machukizo mbele ya Mungu. Wapo wengi walitumika kama ww na mwisho wao ulikuwa mbaya. Jitambue na ujue kuwa ccm inawanachama 5,000,000 na upinzani ni 4,000,000 na walio wengi hawana vyama ninaimani...
  14. K

    Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    Natumaini ww ziyo mzima kwahiyo unahisi kila mtu anafanana na ww. Jitambue kijana!!
  15. K

    Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    Hivi wewe unauwezo gani wa kujua mambo ya ndani ya ccm wakati huna wadhifa wowote wa kukuwezesha kujua mikakati ya ndani.Habari yako imekwesha ni mfano wa kigunzi. Usijipendekeze kwa watu wasio kutaka na usiwe mwepesi wa kusema mwisho ya siku haibu itakushika. Mbona hujamsema mwenyekiti wako...
Back
Top Bottom