Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,976
- 45,853
Wapinzani wamekwisha kwa hoja na ubunifu sasa wameamua kutumia njia haramu kujipatia umaarufu.
Kujikamatisha, kujipoteza na kila namna ya vurugu zitaendelea kuwepo ili kurudisha nyuma juhudi zilizopo za kupambana na ufisadi.
Nguvu ya mafisadi wenye chuki ya kupoteza mapato ambayo sasa yanakwenda moja kwa serikali badala yao na familia zao, inaonekana nyuma ya vitendo vya aibu vya wapinzani.
Inasikitisha sana kuona wapinzani wakigeuka mawakala wa shetani na wanyonyaji wa taifa hili.
Tunatambua juhudi za Mh. Rais kuleta maendeleo ya kweli na tunamsupport, wapinzani ni wa kupuuzwa.