Ni jambo la kushitua na kustajabisha kwa hospitali tunayoiita ya mkoa wa Songea inakosa huduma ya X-RAY.
Waziri wa kazi Jenista na Waziri wa Afya Ummy ni kweli hamlifahamu hili?
Jana sikuamini kusikia taarifa hii kuwa hospitali ya mkoa eti haiwezi kutibu majeruhi wa ajari kwa kuwa walikuwa wanahitaji kupigwa X-RAY na wao huduma hiyo eti hawana. Na mbaya zaidi wakatuelekeza kuwapeleka hospitali ya mission ya Peramiho iliyopo umbali wa kilimita 25 badala ya wao wenye jukumu hilo kuwachukua na kuwapeleka.
Naomba kujua kwanini wahusika hawachukui hatua za haraka kutatua tatizo hili? Mbunge Gama upo wapi wewe?