Huyu jamaa alisema anaushahidi wa chama cha demokrasia na maendeleo kuwa ni chama cha kigaidi akaapa kutoa huu ushahidi hata mbiguni lakini akashindwa leo anataka urais?
Mimi nichojiuliza na ambacho nataka anijibu mleta maada ni kwamba je ni halali kumsifia mwenyekiti wa kamati ya PAC yeye binafsi badala ya kuisifia kamati nzima kwa kazi nzuri waliyoifanya? au tunaongea kishabiki zaidi au kuna kitu nyuma ya pazia?
Umesomeka mkuu utanzania haupo tena ila kunaudanganyika ndio maana leo kuna watanzania wanapinga mafisadi na wazembe wasiondolewe kwenye nafasi zao eti wamesambaza saana umeme utafikiri yeye anahati miliki ya wizara ya nishati na madini upuuuuuuzi!
Abdul Kambaya huna tofauti na hao unaoshutumu kama nia ya cuf ni nzuri kwa nini msiulizane kwenye vyama vyenu(ukawa) kwanza kabla ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari kama ikishindikana ndipo urudi media?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.