Me si mkereketwa wa siasa, lakin kidogo huwa nafuatilia mambo ya siasa. Hizi purukushani za watu kuhamia ccm ninaziona ona tu kama hivi...Nina maswali mawili wanaoweza kunijibu mtanijibu
1. Je , hivi haiwezekan kuunga mkono jitihada za mh rais ukiwa katka chama chako!? Ni mpaka uingie ccm ndo...

Dah! Hii kweli dirisha dogo.....kwa nn hawa jamaa wanaingiza nchi kwenye hasara kwa kurudia uchaguzi tena.....c ni bora angesubiri ahame 2020 ili hizi hela za kurudia uchaguzi zikafanye kazi nyingine
Mimi napenda kua mwazi mana sisi watanzania tumezidi kupoteza mijadala inayohusu taifa na mendeleo yetu kwa kupotezea kwa kiki za kijinga au kumsingizia mtu kua yeye ndo kikwazo,
1 kuna dege inapigwa mnada wanasema mwanasiasa mmoja kasababisha je ndo aliyevunja mkataba
2 mtaji wa 1 million...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.