Recent content by K'T

  1. K'T

    Kukosekana umeme maeneo ya Tabata etc

    Nitabata nzima haina umeme, nishida kwakweli mipia sijapata taarifa juu ya giza hili
  2. K'T

    Nawezaje kujihami na vibaka wakwapuaji wa vifaa vya magari katika foleni

    Hakikisha umefunga milango yote ya gari ukiwa ndani, na vioo sehem zenye vibaka kama magomeni, wezi hawatabiliki kabisa wanaweza kunyofoa vifaa hata ukipark gari sio lazima kwenye foleni, cha msingi nikuwa na insurance (comprehensive cover) kuliko kuhangaika kupambana na hao watu usije kuishia...
  3. K'T

    Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

    yani huyo kibonde ndio anaharibu kabisa clouds ni mlopokaji asiye na mbele wala nyuma anakera sana.
  4. K'T

    Siku 3 za Kuanza kugomea Kodi ya SIM Cards... July 29, 30 na 31...

    Julai 31 tigo na line nyingine zote
  5. K'T

    Acces Bank Ifungwe. Imetoa Siri Za Mteja Kwa Mgombea wa CCM 2015

    Sintah mwenyewe anakana kwamba hajachukua mkopo Access Bank, sasa atasaidiwaje! watu hawajui kwamba mkopo sio kitu kibaya hao matajiri wenyewe wanaendelea kwa mikopo, wanatumia pesa za Mabank kujiendeleza zaidi, wabongo watuwakijua umechukua mkopo unahisi umevuliwa nguo barabarani!!!
  6. K'T

    Mkasa wangu: Usimsaidie mtu mzigo uwanja wowote wa ndege ni hatari sana

    kwenye daladala watu nisaidie kachanga gari limejaa balaa anajidai kubanwa banwa kasogea mbele anashuka huna habari umebwagiwa mtoto wa mtu.
  7. K'T

    Epukana na ulaghai wa mtandao wa simu za mkononi tigo...

    imeshanipata na mimi hiyo, unajiunga kifurushi ukipiga simu wanakata na pesa zilizokuepo kwenye account yako ni wezi sana hawa jamaa!
  8. K'T

    Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

    frema 120, Nenda hospitali umuone dr wa kinamama (gynecology), upate vipimo vyote na utashauriwa ni dawa gani yakutumia kama kweli una malaria, once u find out unamimba nivizuri kwenda kwa Dr (gynecology) kuconfirm the pregnancy napia kushauliwa way forward, mdu huu hutakiwi kunywa dawa yoyote...
  9. K'T

    Zitto kabwe awataka wananchi wagome kuilipa kodi ya simu ya sh. 1000.....amedai kuwa kodi hiyo ilipi

    Tigo mini kabang ilikua Tshs 475 sasa hivi Tshs 600 ongezeko la Tshs 125
  10. K'T

    Mazishi ya Fr Evaristus Mushi: Dr. Slaa na Mtikila wanena

    Anasahau Dr. Slaa nae alikua padri
  11. K'T

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    LOL umenifurahisha sana, Dr alikua Padre haya mambo nimgeni, inawezekana hiyo ikawa sababu tosha tusizunguke sanaaa
  12. K'T

    Treni ya Mwakyembe inapata hasara ya milioni 10 kwa siku 5

    hahhahahha umenifurahisha sana
  13. K'T

    Hizi taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa vp?

    hata mjini leo kumenuna ila inanyesha kidogo sana yakwaida tu, nahisi mzee waupako kaonge ukweli mvua zitakuwepo ila nizakawaida tu
  14. K'T

    Dr. Ferdinand Masau: Daktari mzalendo anayejuta kuwa mtanzania

    inasikitisha,inahudhunisha napia niaibu kubwa sana hata kuiongelea, Dr. Masau alijitolea kutokana nauzalendo wake namapenzi yake juu ya tz ila serikali ya tanzania sujui kama kunajema wanawatakia watanzania
Back
Top Bottom