Ni kweli nchi za magharibi zimekuwa zikitoa misaada, lakini hiyo missada inatolewa na msharti ambayo mwisho mnufaika mkubwa anakuwa ni mtoaji msaada. Kumbuka nchi kama Kenya ilipata uhuru 1962. Tanzania ilipata uhuru 1961. Mwaka 1962 uchumi wa Kenya ulikuwa unalingana na wa Korea ya kusini...
Kuwa na itikadi ni kitu kimoja na kufuata misingi ya demokrasia ni kitu kingine. Tanzania haijafikia ambapo kuna chama chenye itikadi. Si CCM au vyama vya upinzani vina itikadi yoyote. CCM haina itikadi maana ile ya ujamaa na kujitegemea iliisha tupiliwa. Kumbuka ujamaa ulikufa na kuzikwa na...
Nafikiri wewe ulienda huko kwa kuzamia. Elimu yako ilikuwa duni na uwezo wa kwenda (kiakili) shule hukuwa nao. USA ukiomba kazi wanataka high school diploma na wewe huenda ni darasa la saba. Watanzania wengi walioenda USA na elimu zao wana nafasi nzuri. Waliyo na bidii wanafanya kazi viwandani...
CCM inawategemea saana hawa watesaji. Nia ni kuwanyamazisha watu kwa kuwatia uoga. Usitegemee MAMA au kiongozi yeyote mkubwa wa CCM kuchukuwa hatua za kupunguza kasi ya utekeja na uuaji kwa sababu hii ndiyo inawapa uhakika wa kushikilia dola. Ni pale tu watu watakapochoka na utekaji na uuaji na...
Mimi ni kati ya watu ambao hawapendi mada za Lissu hasa pale anapoongea na kutumia matusi hata ya nguoni.
Kuachana na matusi yake, hata huyo Nnauye naye siyo msafi maana huutumia mdomo wake mchafu kutukana.
Ila pia lazima tukubali kuwa Wamasai wasilazimishwe kuhama Ngorongoro.
Ukweli ni...
Mimi naona huyu mke hakufai. Hapa duniani watu ni kusaidiana, je ingekuwa wewe ndiyo unaisadia familia yake angekuwa anatangaza. Mpe ukweli mke wako ili asikuaibishe. Kama umepata fursa huu ni wakati wa kujiendeleza ili ukirudi ujikwamue na manyanyaso!
Swala la pensheni ya kunchangia ni gumu saana. Nchi zilizoendelea zinatoa pension/social security kama malipo ya mwezi na hakuna malipo ya mkupuo na baadaye malipo ya mwezi. Ukiangalia TZ watu wengi hupewa pesa yote waliyochangia na pamoja ni ile ya mwajiri. Zile wanazolipwa kwa mwezi unaweza...
Uliwahi kuusikia msemo "una bahati kama mtende"? Huyu Bwana ni Mtende (Watende kwa kawaida ni watu wa Mara yakijumuishwa makabila ya Wakurya, Waikizu, Wazanaki, Wangoreme, Wanatta, Waisenye, Waikoma....) Basi hii ndiyo aliyonayo bahati huyu Mtende (Mongoreme).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.