Halafu hizi mada sijui zinamaana gani,mtu anamuabudu mnyama si umuache akachomwe we unaumia nini😂😂😂,ndo mana nawakubal sana wahindi,nyie mnapambana na dini zenu wao hawana mbambamba ikifika siku yao wanakatisha town na ng'ombe wao,mkuu fanya kitu unachoona sahihi kwako usipambane na watu
Mhhh we jamaa,siku ya mwisho si ndo kuna mambo ya kuchomana,we ulivyoenda umekuta tayari watu wanachomwa aloo,halafu swala la kuona watu weupe nalo mhh mkuu siku unaota hiyo ndoto ulikula kweli?
Habarini wanajamvi?Leo nilikua nataka nitoe shuhuda mbili baada ya kuapply law of attraction katika mambo mawili tofauti ambapo nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
A. Safari ya Serengeti
Mnamo December mwaka jana nikiwa zangu nyumbani Moro nimetulia nikapata wazo la kwenda Mbuga za Serengeti ambapo...
Mzee nimekuuliza swali lakini umezunguka sana,kuna vitu kibao havina explanation km hii tunayodiscus,watu wanapona na umeona watu kibao wamekiri wao au ndugu zao kupona ila naona bado unaleta maneno meengi,kuna cases ambazo hata hospital wameshindwa kutibu watu wanakimbiliaga huko na wanapona
Ofcourse lazima jamaa wajue tatizo ni nini,wanaombaga document ya hospital i.e xray then wanakwambia uende hata km ni Mtwara huko mwamba yupo Ukerewe Mwanza anafanya yake,na wakat anafanya anakwambia na unaona kabisa mtu km ameshika eneo linalouma anarekebisha.
Hii ni dawa ya kienyeji wengi...
Habarini wanajamvi!
Hivi kuna mtu ambaye ameshawahi kutibiwa kuvunjika kwa mfupa wake na mtu ambaye yupo mbali?yaani mtu unamuelezea kwamba mguu wangu umeteguka au kuvunjika halafu anaanza kuurekebisha akiwa yupo mbali na wewe ulipo, au kuna wengine unaweza ukawa upo nae karibu lakini hashiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.