JamiiForums Tanzania
Technohama
Nimeshuhudia vitabu vya shule za msingi za somo la Tehama, hivi waalimu wanafundishaje? maana vina mambo ya computer parts na kazi zake, computer peripherals na kazi zake, Internet/mtandao wa simu na computer, technologia ya habari.
Nawahurumia sana waalimu kwani ni kazi ngumu mno kufundisha...