Recent content by Kronix

  1. K

    JamiiForums Tanzania Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    We jamaa una akili sana mkuu...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

    Hichi kitu kishanitokea demu kanikubali kabisa nampeleka geto kumla mzito tena tumepitia kinywaji liquor store...!,duuu Ile kuiona tu nyumba nayoishi demu kachoka. Kufungua geto ndio kabisaa ukuta umelika Kwa chumvi...!,demu akapata simu ya dharura ghafla......! Tupambane wakuu mionekano yetu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Kabisa mkuu, matumizi ya dawa yoyote Kwa muda mrefu sio jambo zuri Kwa afya .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Kaka biashara inaendaje....?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

    Nakazia
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemblock baada ya kuona vitu havieleweki kutoka kwake

    Yeye ndio mgumu mkuu Wala sio mapenzi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Restaurants zenye mademu wakali Bongo

    Nakazia Nakazia
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Wazee para bila ndevuu 🤣🤣
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

    Hongera sana mkuu una bahati ya mtende 🤣
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

    Duuu mkuu una bahati ya mtende🤣🤣
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life begins at 40 Vs Midlife crisis

    Nakazia wakuuu
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

    Nakazia
Back
Top Bottom