Recent content by KRISTIAN P

  1. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality

    Hao wazungu wenyewe mbona wana vaa mitumba pia tena sana.
  2. KRISTIAN P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    LEA WATOTO WAKO.
  3. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Jaribu haya makadilio kwa plumbing system

    Niaje mkuu naweza pata bei ya hivi vifaa hapo chini Ips pipe ½= 2 Elbow ips ½= 14 Tee ips ½= 10 Plug ½ = 12 Seal tape 10 P trap= 1 Tanjiti =1 Elbow 1½= 4 Tee 1½= 2 Plug 1½= 2 Gully trap = 2 Pipe nch4= ½
  4. KRISTIAN P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa niko nae mbali mwaka wa pili huu licha ya kuzaa nae ameamua kubeba mimba na mwanaume mwengine!

    Hakika kila jambo lina kusudio lake mkuu uenda kuna kitu Mungu amekuepusha nacho piga moyo konde tafuta pisi nyingine kali maisha ya endelee.
  5. KRISTIAN P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa niko nae mbali mwaka wa pili huu licha ya kuzaa nae ameamua kubeba mimba na mwanaume mwengine!

    Wengi wana gongewa na wapo na wenza wao kila Ni tabia tu ya mtu unaweza kua nae karibu ukampa vyote na waka kugongea tu vile vile.
  6. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

    Kujenga msingi mpaka boma Chumba kimoja,sebule,jiko na choo kwa 450,000 kupaua na kupiga bati kwa 150,000 huyu fundi ana patikana wapi mkuu.!?
  7. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Hupo nchi gani kwanza tuanzie hapo.?? Hiyo pasipoti ya Tanzania ya zamani unaitumia wapi😄 Labda kama urudi kwenu mara kwa mara.
  8. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Kigamboni Lugwadu ukiwa na Mil 2,5 mpaka mil 3 unapata kiwanja safi. Vipo vingi tu
  9. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga Kigamboni, ushauri tafadhali

    Nenda maeneo ya Lugwadu
  10. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

    Acha kutisha watu tumechukua juzi Kigamboni Lugwadu biashara imeenda poa tu.
  11. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3

    Maeneo ya Pugu Kigogo fresh unapata kiwanja kwa mil 3
  12. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    [emoji91][emoji91]
  13. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Ni mtaalam wa finishing kali na urembo njoo ujionee sample

    kazi kazi
  14. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki mpya automatic transmission bei nzuri

    Soma tangazo vzuri bei kaweka
  15. KRISTIAN P

    JamiiForums Tanzania Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

    Raphael Rapper
Back
Top Bottom