Recent content by Krephf

  1. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😁😁 huwa nawachora tu, unakuta mtu ka stake 700k kwenye treni yenye odds 100+
  2. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa, ngoja nisogee huko, maana hawa jamaa wana machaguo mengi
  3. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hawa jamaa hawana usumbufu kwenye withdrawal kama ilivyo kwa Paripesa?
  4. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nashukuru mkuu, ngoja nisogee huko, jamaa wana options nyingi nzuri
  5. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kati ya hizo ulizotaja ipi ina mobile payment kwa ku withdrawal?
  6. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukitaka ku withdrawal mpaka umtafute wakala kama ilivyo kwa 1xbet?
  7. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu umeeleza jambo ambalo napitia, nili deposit paripesa fresh tu kwa kutumia voda, nimekomaa na Mikeka kwa zaidi ya siku tatu pasipo kufikiria kutoa hela. Baada ya kuona nimepata pesa ya kutosha basi nitoe 70% ya pesa iliyokuwa kwenye account yangu, ile naenda kwenye withdrawal nakuta kuna...
  8. Krephf

    JamiiForums Tanzania Je, gharama hizi za ‘wiring’ zina uhalisia kwa nyumba ya vyumba vinne?

    Uyo jamaa ni mwizi, cheki fundi mwingine akupe makadirio yake ya bei ili ulinganishe hizo gharama
  9. Krephf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Mkuu ndoa yako inaendeleaje? Tupo mrejesho wadau [emoji16][emoji16]
  10. Krephf

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Harakati za maisha

    [emoji38][emoji38][emoji38] nimependa huo mstari wa pombe siyo chai
  11. Krephf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hili linalo tokea anisaidie

    Point ya msingi sana hii
  12. Krephf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hajapata kazi hadi leo hatokuja kupata kamwe

    Duh! Hatari tupu Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
  13. Krephf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi ukiwapiga iyo Hela watakupa kweli? Maana mara kibao wanafunga withdrawal Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
  14. Krephf

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Umetisha sana mkuu singanojr Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom