Recent content by krc

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CCM hakuna kiongozi mzuri?

    inapendezaaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    serikali 3... sababu: muundo uliopo hautekelezeki bila kubadili mkanganyiko uliopo kwenye katiba ya znz ki2 ambacho hakiwezi kutokea.. pia serikali 3 inatoa dira ya kutekelezeka ya sera ya transparency ki2 ambacho hatukishuhudii kwa miaka 50. mwisho, kuna kaudikteta kutaka kuweka kando...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Tsunamiiiii! nilikua mabibo hostel, mit miref ilikua inapiga kelele iyo. Nilipostuka usingizn niliihc ndo mwisho wa dunia, nimeamua kumrudia Mungu maana iz dalil ndo zile nazoziskiaga kwenye vtb vya din
  4. K

    JamiiForums Tanzania Siri ya Pinda kunusurika

    wizara ni nyingi mno kwa waziri mkuu kusimamia zote kikamilifu, ndo 7bu kuna manaibu waziri, makatibu na watendaj wengine, kiukweli w mkuu ana kaz kubwa mno ndo mana hata yeye yuko tayar kuachia kit. kwa maoni yangu mm kabla hajafikiriwa kutoka, waanze watendaji wizaran, ila the best solution...
Back
Top Bottom