Recent content by krasavitsa

  1. K

    DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

    Doh balaa!!! Tanzania hatuna sababu ya kuwa nchi maskini. Tuna vyanzo kibao vya kutuletea fedha from madini(Tanzanite,diamond,gold etc) mbuga za wanyama, bahari ,two big lakes, mountkilimanjaro, plenty of land, tuna gesi. Kinacho tufanya tuwe maskini ni kuendelea kulea watu mafisadi wasiokuwa na...
  2. K

    wanawake wa TZ hawajui kupenda ila wanawivu

    Wee vipi? wanawake wa TZ hatujui kupenda ila wivu kibao????rafiki unasikiliza taarifa za habari na kusoma magazeti? umeshawahi sikia mwanamke kamtwanga mume/boyfriend risasi au kata miguu??:shocked::eyeroll1:
  3. K

    Picha za Utupu zatajwa Kuwa chanzo cha Mauwaji ya Ilala..!!

    Hivi na njie wanaume mnashangaza! hata mtu hujamuuoa unagharamia shule na kila kitu. Akiamua kusepa inakua ishu why kwani mnakataba???Mnapokuwa na wake zenu siku zote hamna hela, kazi kuhonga mahawara lipia shule na kadhalika. Yanayo wakuta mbona mnastahili mtanunua bastola sanaaaaa tu
  4. K

    Hainaga digirii

    Mmmh hii kali! kusema kote huko na majivuno ingekuwa kitu cha maana basi kumbe kushobokea wanaume! Ujinga mtupu, hapo ndio wanaume wanapotake advantage kwa wanawake nakututumia vibaya sana. Hapo ndio umuhimu wa shule ulipo kuchanganua mchele na pumba unajisifu kutumiwa???? DUH UMILEMEBE WA HALI...
  5. K

    Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    :crying: Doh Tanzania kwisha hee uozo kila mahali doh doh!!!Handaki la watoto wanobakwa, papuchi zinauzwa mchana kweupe, vibabu navyo vinabaka doh balaaa. Halafu wahusika wa kuzuia hayo wamelala usingizi mziiiiiito
  6. K

    Nisaidie ushauri...ndoa imenishinda

    Jamani hivi wanawake tuna nini? mtu akupige mpaka ulazwe hospitali bado unavumilia na kuuliza watu eti wakupe ushauri????? Doh ushauri upi? kwamba utayarishe jeneza?? ANZA ANZA usisubiri akuuwe, mapenzi hapo HAKUNA!!!!!:shocked:
  7. K

    'Utanashati' wawafukuzisha kutoka Saudi Arabia!

    Kweli Acheni Mungu aitwe Mungu maana ameumba!! Sasa mbona hazijashushwa picha za handsome wetu wa TZ au Africa?? Au sisi ndio vimeo????
  8. K

    Ushauri wa kiutu uzima muhimu jamani! No Jokes, this is serious bussiness

    Rafiki mwanamme mzuri halipi hata kidogo, kwanza jitayarishe kuleea na kuhudumia na ukivuta miaka tu anakuacha solemba na kutafuta kijana. Chagua mwenye fedha na juu yuko vizuri.
  9. K

    Tusimlaumu "Binti Kapuya!", She is Insane!. How Sane is Mhe?. Ku...na "insane!" Bado ni Kubaka tuu!.

    Jamani jamani haya ni majanga!!!!Duh yaani mi kumuona huyo binti kweli nimechoka:shocked::shocked:, hivi kweli kweli huyu ndugu aliona nini??? Duh na hiyo elimu position yake eeh kutembea na huyu binti? wanaume POLE ZENU!!!
  10. K

    Sababu 10 za kuwachukia madaktari

    :shocked: Heee. Hii kali! kutojiamini ni shida sana katika maisha. Mtoa mada even if you are given 100 yrs moreto live, you will never be an MD NEVER!!Inabidi tu uheshimu ma MD bana!!!
Back
Top Bottom