Kwa trekta aina ya New Holland unaweza kuwasialana na SUMA JKT pale Mwenge wanayauza au kuna kampuni inaitwa Hughes wana ofisi Arusha na pale Tazara DSM. Hao wote wanauza kwa cash.
Kama unahitaji mkopo unaweza ukawasiliana na Home.
Karibu.
Spot healing brush huwa inasample eneo automatically na kuweka sehemu nyingine kwa sababu hii muda mwingine inaweza kuwa imesample sehemu tofauti mfano inaweza ikasample sehemu yenye shadows na kuheal sehemu yenye highlights ikitokea hivyo lazima hiyo sehemu iwe nyeusi. Ila healing brush yenyewe...
Mimi ninaishi Dsm Tabata kisukuru sina studio ila unaweza ukajifunza kwa kuuliza maswali na kuangalia tutorials na bado ukawa vizuri. Mfano mimi binafsi sikuwahi kufundishwa photography wala retouching ni juhudi zangu mwenyewe za kujifunza hadi kufikia hapa nilipo
Hakuna mipaka wala sheria katika retouching ni jinsi ww unavyoona kipi kinakufaa kwako as long as unajua nini unachotaka kukifanya.Sio kila picha inatakiwa iwe na details nyingi kwenye ngozi mfano glamour skin glow ni ngumu kukuta skin texture na bado ngozi inakuwa sio plastic. Usijiwekee mipaka...
Aperture au fstop ndio inaaffect hicho kitu unachokitaka ambapo subject inakuwa kwenye focus na background inakuwa out of focus. Prime lenses ni nzuri sana kwenye kublur background kwasababu aperture yake inauwezo wa kushuka hadi f/1.2 baadhi ya lens ila gharama yake ni kubwa sana aperture ikiwa...
Kwa uzoefu wangu katika tasnia hii ya muziki ni kwanza unakuwa na bajeti yako halafu ndio unaanza kutafuta vifaa kwasababu vifaa vya studio vinatofautiana unaweza ukakuta mimi natumia mac ambayo nimenunua 3mil wewe ukanunua pc ya kawaida laki 5 lakini wewe ukawa na kazi nzuri kuliko mimi. Cha...
Mimi na wewe tunaweza kuwa serious je na hao wengine inakuwaje? Labda tufanye hivi, tengeneza group then nitakupa namba zangu utaniadd ila nikiona hapaeleweki basi nitakuwa huru kujitoa.
Camera yoyote unaweza ukaanzia inategemea na bajeti yako. Ila vya kuzingatia ni hio camera ina uwezo wa kupiga RAW format na uwezo wa lenses kwasababu mfano lens ambayo ni prime(haizoom in wala out) inakupa picha ambayo ni very sharp ukilinganisha na zoom lens.
Nexus kupata kwenye link inakuwa ni ngumu kidogo kwasababu setup yake ni kubwa sana. Labda cha kukusaidia tuwasiliane ili uweze kuja kuchukua setup yake kwenye flash disk au hdd
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.