Recent content by Kraftwerk

  1. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    You ready knw bro
  2. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Hii JBL flip 5 ni good music

    Hata mzee me niko nayo ofsn somtsm naiosha kbs za sabuni waterproof hiyo
  3. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ametoka jela hali ni mbaya sana

    Miezi mitatu tu watu wamekula marinda dah
  4. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

    Tafuta kazi ya kufanya kijana
  5. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Sungusungu Kariakoo wanakusanya ushuru na kutoa risiti ya kuandika na mkono, hii ni halali?

    Sio kariakoo tu mpka ilala hali ni hiyo hiyo tu
  6. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    All in all kaka ni kaka tu. Hakuna mtu atakaewez kukusaidia kama si familia yako tu ukipatwa na matatizo.. note this guys!
  7. Kraftwerk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia mpenzi wangu kuwa ananuka mdomo?

    Mpelekee zawadi ya mswaki na dawa ya meno. [emoji23]
  8. Kraftwerk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Mwanamke anaweza kukupenda kwa kitu kidogo tu. Kama the first day kuskia saut yake na kuvutiwa nae. Nakumbuka kuna she aliwahi kuniambia kuwa amevutiwa na mm the way i walk lol Tunaendelea kukupa pole sister.
  9. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

    Nikiwa kama mwarabu wa mchongo. Upande wetu tupo vzr achana na wahinda utaishia kutukanwa tu.
  10. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Hapa nchini ukipiga namba za dharura wanafika kusaidia?

    Huku Tanzania ni 112 wapigie uongee nao kwanz uje utupe experience [emoji23]
  11. Kraftwerk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Inatoka bahat mbaya kaka mkubwa
  12. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Akirudi mniite mbwa nipo pale
  13. Kraftwerk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

    Hii ngoma kali sana [emoji23]
  14. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    Hii wameliwa kinoma mpk ndugu yang aliniambia kaweka 50 USD [emoji23]
  15. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    Kuna mdogo wang yupo IFM yani nilimuona mjinga kwel kuanza kuniambia kuhusu mambo ya Q NET nilimpa kofi hawez kusahau. Nilimuambia kama umechoka kusoma kaa nyumbani utakula na kulala tu.
Back
Top Bottom