Recent content by Kozo Okamoto

  1. Kozo Okamoto

    Njia panda ya mapenzi

    Sawa. Itafika zamu yako na wewe kama utabahatika kuolewa. Mume wako nae itatokea tu, na kibinti cha hapo mtaani kwenu. Ila na wewe uwe mvumilivu tu.
  2. Kozo Okamoto

    Njia panda ya mapenzi

    Shetani siyo lazima awe na mapembe, hata kuvuruga ndoa za watu ni ushetani vile vile
  3. Kozo Okamoto

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Siku hizi humu watoto wamekuwa wengi sana. Jando halima maana kabisa siku hizi
  4. Kozo Okamoto

    Kozo Akamoto; Nimewamiss sana wakongwe wenzangu

    Mkuu, sidhani kama unahitaji hati miliki.... Atakaye jaribu kuiga unamshughulikia moja kwa moja mkuu ahahahah
  5. Kozo Okamoto

    Kozo Akamoto; Nimewamiss sana wakongwe wenzangu

    Mkuu Mkuu, natumia kila silaha iliyoko mbele yangu, cha msingi ni uhai tu
  6. Kozo Okamoto

    Kozo Akamoto; Nimewamiss sana wakongwe wenzangu

    Nimefarijika na uwepo wako mama. Kweli nyungu muhimu. Ila barakoa, social distancing na kunawa mikono ni muhimu pia
  7. Kozo Okamoto

    Kozo Akamoto; Nimewamiss sana wakongwe wenzangu

    Amani iwe kwenu! nimewamis sana wakongwe wenzangu. Nawasalimieni kwa hisani ya Corona. Naamini Mwenyezi Mungu atatuvusha kama ambavyo amekuwa akituvusha miaka yote. Nimekumbuka mapishi ya bibie farkhina, mchepuko wangu Valentina sijui kama bado yuko huko Arusha. Mchawi Mkuu Mshana Jr. lete dawa...
  8. Kozo Okamoto

    Serikali Kuu ya JamiiForums

    Tuheshimiane sana mkuu sijawahi kupinduliwa, CDF ni "ONE STAR GENERAL" KOZO OKAMOTO MJAPANI WA KIKURYA
  9. Kozo Okamoto

    Mrejesho; Nishaurini kabla sijanunua mbuzi kwenye gunia

    Dah hivi form 5 wanaripoti lini?
  10. Kozo Okamoto

    Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

    Mkuu, njoo fasta inbobo nikuuzie jeneza walau wanangu wapate rizki, nitakufanyia bei poa kabisa, nitakupa discount pia
  11. Kozo Okamoto

    Mgomo wa wafanyakazi nchi nzima waiva

    Mkuu siku hizi unazeeka nini? TUCTA yupi unamuongelea? Huyu huyu TUCTA ama? Nimecheka sana leo
  12. Kozo Okamoto

    Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Dah siku hizi kuchapiwa siyo siri ya ndani tena!!!
  13. Kozo Okamoto

    Kitu pekee kilichonishinda maishani

    hahaha aisee, hii hatare
Back
Top Bottom