Recent content by koyola

  1. koyola

    Mbinu ya kuzima maandamano ya 24/1/2024 yafichuka

    tatizo sio kuandamana woga wa kupora vitu vya wetu Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
  2. koyola

    Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!

    Taratibu mnaendelea kumkumbuka kwa kuwa mlijua hasa nini malengo yake imajifanya hamjui Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
  3. koyola

    Yafahamu Majukumu ya Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM

    Hata kinana wakati katibu mkuu wa chama alishatamka kuwa kunamawaziri wengine ni mzigo anatofauti ipi na makonda elewa matamko ya makonda ni matamko ya chama hii ni siasa
  4. koyola

    Ndege ya ATCL ya abiria 250 kubeba abiria 36 kwa gharama ya Serikali ni ufisadi

    ni moja ya matumizi hata akiwa rais na wasaidizi wake na pia ni biashara ya ATCL ikiwa imeona kunafaida
  5. koyola

    Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

    ilikua kazi ndogo tu wangeondoka mapema, kipi kiliwaweka hadi mwisho wa mambo,au posho nzuri maamuzi baadae
  6. koyola

    Umeme Umeme

    Tanesco Tujikumbushe mitambo ya IPTL iko wapi? tukipata jibu tuendelee na mada
  7. koyola

    Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    kama hujui mfumo wa kubeti acha tu utafilisika kifupi inatakiwa ubeti mara 100 au zaid ndo uingizwe kwenye mfumo wa kupata angalau kidogo
  8. koyola

    Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

    Baada ya vipimo vyao kutoka Miliembe hospital ndo tunaweza kusema nani afaa
  9. koyola

    Ni janga na aibu kwa taifa kuwa na vijana aina ya Mdude Nyagali

    Hii dunia ina watu mamilion hawalingani kama vidole vya fingerprint. kila kidole kinaaalama zake na akili ni hivyohivyo Akili zake ndo zilvyo acha ajifurahishe,awafaruhishe,na wenye kukereka,wakerekae na waku puuza wapuuze.. lenye mwanzo na mwisho upo yataisha yatukuja mengine...
  10. koyola

    Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

    Ni mmoja wa watu wapuuzi sana huyo Mbabu...
  11. koyola

    Shehe Ponda na Askofu Mwamakula wako Upinzani, Askofu Gwajima yuko CCM halafu tunasema Tusichanganye Dini na Siasa, tunamdanganya nani?!

    Uelewa ndo tatizo kuwa na dini au kuongoza dini hakukufanyi kutokuwa mwanasiasa, Ila uongelee sehem yake na siasa uongelee sehem yake,haiwezekani upo jukwaani uhubiri dini na upo kanisani au msikitini uzungumzie siasa
  12. koyola

    Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

    Tibaijuka ni Bibi wa hela za mbogamboga
  13. koyola

    Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe

    Lisu ni mwanaseria mjanja na muona mbele, na anajua baadhi ya matamko ya makosa, hat ile kesi ya bandari Lisu alijua nini ukweli wa kesi kisheria ndoma hakujiingiaza katika utetezi aliamua kusema majukwaani kisiasa zaid.
  14. koyola

    Godbless Lema: Nilifukuzwa bungeni kwa mwaka mzima kwa Sababu ya kumtetea Huyu Mzee wangu alhaj Prof Assad, sijui nini kimemkuta tena!

    Ulikua hujui nini unakitetea na hivi bado hujajua kwanini unamzungumzia profess Asadi
  15. koyola

    Oparesheni 255: Tundu Lissu afika Busisi, awalipua Benjamini Mkapa, Dkt William Shija na Tumainiel Kihwelu kwa kuuza Bulyankulu

    Tundu wa kumzoe tu Alizanza na mwalim Nyerere kusema kuwa alikua akitawala kiujanjaujanja Leo Mkapa juzi ilee alikua Lowasa akaja kwa Magu leo Mama raisi Samia Baadae atanza kwasamea kwa mazuri na kusahau yote ya nyuma ni mtu kama vichekesho hasimami na jambo moja kama hapana iwe hapana na...
Back
Top Bottom