Recent content by koway

  1. K

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta: Kama Tanganyika tukikosana na Zanzibar, tunawazimia tu umeme

    Yaan wewe nikicha kweli kweli
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni mnifundishe mapenzi, sitaki kuumizwa tena

    Wewe unatakaje hela zake wakati hata mwenzi hauja isha? Tatzo wanawake ni wa binafsi sana, unataka kula bila kuliwa. Acha hizo habari, by the way maisha hayana formula kwasabu watu tuna tofautiana na mahitaji yana tofautiana. Pia inategemea wewe unajiwekaje kwa hao wanaume, kama unatanguliza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Nywele vipi hawaweki dawa? Vipi mawigi?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Haya tumewaacha hatuta wasema tena
  5. K

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta: Kama Tanganyika tukikosana na Zanzibar, tunawazimia tu umeme

    Afadhali umejua kama unaharisha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Njia ya kuacha kuwafanya wanawake kinyume na maumbile

    Wakija kumfanyio hvyo mkeo utajisikiaje? Kama ukijisikia uchungu basi hakuna namna ni wewe kuamua kuwa sasa na acha, pia achanan na hayo mawazo ya kijinga
  7. K

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta: Kama Tanganyika tukikosana na Zanzibar, tunawazimia tu umeme

    Kukosa shule hii ya kidunia mda mwingine ni shida sana, pia kuendekrza njaa na kutopenda kufanya kazi ni janga lingine
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro amtusi tena Haji Manara

    Halafu,hivi timu za ulaya zina wasemaji? Au na sisi tumejiongeza kuweka hiki kitengo?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta: Kama Tanganyika tukikosana na Zanzibar, tunawazimia tu umeme

    Kwa lugha nyingine viongozi wanajua kuwa waislam wanakandamizwa ili nchi iwe na amani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

    Simba mwenda pole- hufungwa na yanga
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

    Jamani mbavu zangu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Monduli: Walimu wanne wahamishwa kwa sababu za kisiasa

    Sawa wewe mjanja
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Hiyo ni kauli kwa vija, ya wazee itstilewa pia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Mm nilidhani wewe ni miongoni mwawatu wanao fahamu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Monduli: Walimu wanne wahamishwa kwa sababu za kisiasa

    Wewe mwenyewe ni jipu, unalala saizi badala ya kufanya kazi
Back
Top Bottom