Labda wanahitaji real footage film, lakini swali au idea ni kuwa requirement kama hii ndio hizo kazi halisi, kwa wale wanaojifunza hii fani ya 3D, kazi ni kuona hiyo requirement, na kuichambua na kuiwezesha kwa njia ya 3D. Je ikiwezekana, wakapokea 3D footage yenye kiwango safi na inayoeleza hio...