3d exclusive. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3d exclusive.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kadoda11, Sep 2, 2012.

 1. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  wakuu nimeona ni-convey mawazo yangu kuhusu siasa za bongo kwa kutumia 3D video.nimetumia adobe AE CS5 kwa ku-aply camera layer,light layer na red sold.wale watu wangu wa maswala ya Graphics Design nadhani hii kitu itakuwa inawahusu zaidi.naomba mniambie mmeonaje hii video.tupeane changamoto ki-3D zaidi na sio siasa.nasubiri kusikia toka kwenu wadau.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Magembe R. Malima

  Magembe R. Malima JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 233
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ntarudi baadaye kidogo. Ila andaa hasira kabisa.
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  while you think to come back pls make sure unakuja na link ya kazi zako so i can prove the capacity of ur anger.otherwise dont come back.nimejipanga kaka.LOL:redface:
   
 4. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu umetisha kwa hiki kipande japo sijakielewa vizuri kwamba ccm ndani den CHADEMA nje kwenye hilo boksi lako, ila tuachane na hayo, kuna tuitorial moja niliiona wanatengeneza kitu kama hicho japo yenyewe inakuwa fupi kama hiyo yako yeye alitumia photoshop cs6, ila kikubwa nataka kukuuliza hiyo software uliyotengenezea mimi naweza kuipata vipi? msaada wako please coz i like dis editing and creation.
   
 5. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  asante kaka kwa kunipa moyo siyo kama jamaa flan hapo juu anajifanya kujua kumbe hajui.....well hilo jambo ulilo gusia hapo juu ni kweli linafanyika hata ktk photoshop.unachofanya niku-design PS layers kama 2D.Then una-import PS project with its layers ktk AE.make sure you import it as PSD.EA itakusaidia ku-compose PS layers ktk mfumo wa 3D.kiufupi ni hivyo labda kama wataalam wengine watakuwa na uelewa zaidi.kuhusu upatikanaji wa sofware ni hilo ni rahisi.unadownload kupitia mitandao kama isohunt.com N.K.
   
 6. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kadoda,
  Unapoweka ujuzi wako hapa kwenye forum, je unahitaji maoni au hii ndio finished product yako, na basi tuichukue kama ilivyo? kwani inaonekana comment ya hapo juu hukuipenda....
  Mimi nitatoa maoni tu hata kama hayahitajiki, hapa dogo bado sana kufikia kiwango kinachohitajika kwenye biashara, kaza buti na angalia kazi za watu wengine wanavyoichambua idea hata kama ni ya sekunde 5 tu....
   
 7. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  ....asante.
   
 8. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 9. Magembe R. Malima

  Magembe R. Malima JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 233
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  kadoda11,
  Nilipotea kwa sababu nimebanwa na mambo ya hapa na pale.

  MAONI YANGU:

  ARTISTICALLY
  Ni jaribio zuri kwa anayeanza kujifunza Adobe AfterEffects (AE). Tumia 3D capability ya AE kutengeneza backgrounds za motion graphics na artificial environments. So, ulichofanya kinaridhisha kwa anayeanza kujifunza. Unahitaji kufanya bidii sana. Bidii sana. SANA.

  TECHNICALLY
  AE ni software ya kiwango cha juu kwa kazi za Motion Graphics na hata Visual Effects. Hata hivyo si nzuri sana kwa 3D animations. Ni kweli ina 3D capability kwa maana ya ku-position na ku-animate assets katika 3d space lakini kwa aina ya kazi uliyoonesha hapa AE haifanyi vizuri sana. Kuna plugin yake ya Zaxwerks Invigorator na pia Zaxwerks ProAnimator hizi zinaiongezea zaidi 3D capability. Sijui kama zinaendelea kuwa developed. Pia AE CS6 imekuwa enhanced na 3D capability kwa maana ya rendering ambayo quality (Ray tracing) yake inafikia ya dedicated 3D software kama Maya etc but modeling is so limited. Cheki hapa.

  VideoCopilot wametengeneza plugin iitwayo Element ambayo inaiongezea uwezo zaidi kuimport 3D assets from 3D Software katika format obj. Cinema 4D inaweza kuwa imported natively.

  Hivyo nachosema ni kuwa 3D space ya AE (Actually ni 2.5D) ina matumizi yake but si kwa kile ulichofanya hapo juu, unless unajifunza tu ili upate idea namna inavyo-handle 3D, ila ukitaka kufanya advanced 3D ni lazima utumie software iliyo-dedicated ku-achieve professional quality.

  MAONI YANGU JUU YA KIWANGO CHAKO.
  Unajitahidi. Ongeza nguvu mara 9 ya ufanyavyo sasa.

  ZAIDI
  Ni lazima usome sana vitabu vya designing pamoja na kutazama tutorials za wengine. Nasisitiza rudi VideoCopilot na fuata maelekezo ya Andrew Kramer. Ukipambana mwenyewe basi hakikisha kuwa unajua WORLD CLASS ya graphics ni ipi na u-Struggle kufikia kiwango hicho. HATA HIVYO HAYA NI MAONI YANGU TU SI LAZIMA UYAFUATE, KAMA UNADHANI UNARIDHIKA NA KILE UFANYACHO BASI FUATA HISIA ZAKO. Kila la Heri.


  JARIBIO LANGU LA HIVI KARIBUNI  SOFTWARES:
  Maxon Cinema 4D: Modelling, Animation & Multipass rendering.
  Eyeon Fusion: Compositing.

  MAELEZO KIDOGO
  Kwa sasa siwezi kuwanya modelling ya binadamu na wanyama (Character modelling) ndiyo maana mkokoteni unaenda peke yake otherwise ningeweka mtu anauvuta. Nimetengeneza kwa mawazo kuwa mkokoteni unavutwa na si kusukumwa (Kuna watu wanaweza kushangaa kuwa unaenda nyuma badala ya mbele).
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Magembe R. Malima

  Magembe R. Malima JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 233
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Nimetazama hiyo link. Jamaa wako juu sana. Inabidi tukaze buti kweli.
   
 11. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi TZ2015 ndio upo njiani, opportunities za advertisements zitakuwepo, endeleeni kujinoa kwenye huu ukumbi....
   
 12. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  Magembe R. Malima ushauri wako ni mzuri.nitaufanyia kazi.pia nakupongeza kwa kazi yako nzuri ya mkokoteni CC.nice try.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutoka ippmedia.com 24 Sept 2012.

  A short film competition has been commissioned by the Extractive Industries Transparency Initiative (EITI) to promote public debate on the exploitation of minerals and the community benefits.
  According to a press statement availed to The Guardian yesterday by the organ's international secretariat in Tanzania, the theme of the short video competition is: "Are you seeing results from natural resources in your country?"
  The statement further explained that the contestants are required to submit their video pieces by December 31 this year. The contestants are encouraged to focus their video to stir public debate on extractive industry and good governance.
  The statement said the video is meant to serve as a tool for stimulating public debate on sustainable management of natural resources. The winner of the competition will receive a prize from EITI Board, the EITI Chair Award and a cash prize of USD 5,000 and will be announced at the sixth Global EITI conference to be held on May 22-24 next year in Sydney Australia.
  Tanzania is a member of EITI, a global coalition of governments, companies and civil society organizations whose main objective is to promote transparency and accountability in the management of minerals, oil and gas revenues.  Je hii inawezekana kuchambuliwa ki'3D?
   
 14. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  inawezekana ila shaka yangu ni kuhusu hao waandaji wa hilo shindano kama wanahitaji hiyo short film iwe ktk 3D.
   
 15. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda wanahitaji real footage film, lakini swali au idea ni kuwa requirement kama hii ndio hizo kazi halisi, kwa wale wanaojifunza hii fani ya 3D, kazi ni kuona hiyo requirement, na kuichambua na kuiwezesha kwa njia ya 3D. Je ikiwezekana, wakapokea 3D footage yenye kiwango safi na inayoeleza hio nia, sidhani kama haitapokelewa...


  Mfano. Hapa wanaongelea mali zilisopo nchini, moja kwa moja, dhahabu, tanzanite zimeshaingia kichwani, Je hii sector ni vipi MTZ anavyofaidika au kutokufaidika, Je fununu kuwa ndege ndogo ndogo hutua na kuondoka huko migodini ni kweli, zinafanya nini huko?
  Mali ya gesi, mafuta.......?

  [video=youtube_share;iibLMkTzxtc]http://youtu.be/iibLMkTzxtc[/video]

  Ningependa kuweka hii site hapa kwani inaonyesha hizi kazi za 3D kwa undani na ni nini hawa jamaa wanachofanya.

  Please angalia hii kazi, kazi inavyochambuliwa. pale chini ya ukurasa inaonyesha nguvu-kazi inayohitajika kuwezesha mpango mzima, ni wazi kabisa kuwa TEAM inahitajika ndio kuiwezesha hii fani kukua, tujipange jamani!!!!!

  SHED: IGA - Odeur de Pain


  Kazi zao nyingi wanaonyesha (in short) jinsi inavyotengenezwa.
  SHED
   
 16. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  kaka nimeona hiyo video.ni mambo bad sana.changamoto kwetu wabongo.acha niindelee kujifua.
   
Loading...