Recent content by Kossovo

  1. K

    Basi kusiwe tena na Samia Scholarship

    Hizi ndio siasa chafu zinazoharibu elimu. Tutafute vichwa vitakavyolipeleka taifa mbele. Kigezo ni division one Kali na sio umaskini au utajiri.
  2. K

    Hivi mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?

    Alikuwa na akili. Akili ni kile unachobaki nacho ukitoa yoote uliyofundishwa
  3. K

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Mpe mtu pesa then utajua tabia yake halisi.
  4. K

    Hana uwezo wa kumudu tendo la ndoa, je, ndoa inaweza kuendelea?

    Dear Fake Pastor, Washauri waende hospitali kuthibitisha kuwa mume hafanyi kazi. Kama mume atagoma kwenda hospitali then jibu liko wazi. Au wafungieni kwenye chumba cha faragha mlichokiweka camera bila wao kujua, halafu waonyesheni muvi kali ya x. Then wapeni muda. kama mume mzima mtamuona tu .
  5. K

    Msimamo wangu

    Ushaumizwa wewe sasa unachotafuta ni mkataba wa kuishi na mwanaume sio ndoa na mapenzi .
Back
Top Bottom