Zero brain ya bashite it indicate zero of thinking capacity yake mbona enzi za kanumba watu walikuwa wanaangalia Sana move za kbongo hii ilikuwa kwa sababu ya umakini wa kanumba kwenye uigizaji. Sasa hivi sio wanawake au waigzaji wa kiume kazi yao ni mkologo tu
Usasa ni unafiki baada ya wewe kupata matatizo ndo unasema chadema ya wachaga hapo hapo unasema kamanda chacha wangwe alisema chadema ya wachaga je mbona uliendelia kubaki chadema? Kila mtu atavuna alichopanda usitafute huruma ya wanachadema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.