Recent content by koroshohai

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    uzi mtamu hakuna mfano wake mara hii chama dola kinagumi rasilimali saké kufanya mageuzi ya kuwashawishi viongozi wote wenye ushawishi kwa jamii ili kuzima vuguvugu hili la anguko la ccm kuanzia lipumba na sasa Hawa wazee nao wameangukia huko kweli inahitajika tufanye maombi kuyatoa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni Polisi sasa mnaikubali UKAWA - Tumespot bendera ya CHADEMA mmeifunga kwenye gari lenu

    kiongozi na wewe unamakengeza hivi huoni kabisa kuwa hao si-polisi wa jeshi letu.hao ndio wanaoitwa red brigade wa chadema punguza manyusi ili uone vema.
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    wewe hakika ni mgeni katikà siasa yanayosemwa ni siasa wala hujaambiwa kuwa pôle pôle kwa kumsuta edu tayari ni mkereketwa wa ccm Yale ni maoni tu hâta wale wanaokihama ccm wanaitwa makapi sasa hizo ndio siasa ndugu badilika uilewe siasa ya vyama Vingi na mazonge yake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya Walioteuliwa kugombea Ubunge, Uwakilishi na Viti Maalum CCM katika Uchaguzi 2015

    wanjidanganya kuwa wakiweka mtu anaefanana kwa jina watafanikiwa kuchukua hilo jimbo hwana nqmna tena ila watafute wabunge wa kuchonga.makubwa haya.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir alipata kigezo gani kuwa Judge?

    wachangiaji wa uzi huu fanyeni tafakuri kidogo tu isiyohitaji shule Hawaï BSS toka wameanza biashara yao ameshatoa wanamuziki mahiri wa viwango wangapi? shughuli iliyopo pale. ni njaa kali wanaganga njaa tu bora THT unaweza kuhesabu idadi yao wanaofanya vizuri katika fani hiyo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

    your not biased on your statistic presanted,due to that list you mentioned a few chadema cadres and their post-position, can you looking ccm on thé other side? are you sûre ccm are not minority and godfathers leading tanzania.
  7. K

    JamiiForums Tanzania CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Ritz,tatizo lipo wapi katika mgao huo,wale viongozi wa vyama shirika iliwachukua mwezi mmoja kugawana majimbo hayo sasa wewe unaanzisha hoja il kuleta uchochezi kwa mambo yaliyokubalika mezani nani mwenye uchungu kati yako na wenye vyama-tafakari mtu mzima.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Ritz,tatizo lipo wapi katika mgao huo,wale viongozi wa vyama shirika iliwachukua mwezi mmoja kugawana majimbo hayo sasa wewe unaanzisha hoja il kuleta uchochezi kwa mambo yaliyokubalika mezani nani mwenye uchungu kati yako na wenye vyama-tafakari mtu mzima.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    Dilemma upo sawa sana hii ni tabia ya unafiki wa kupitiliza huyu watanzania walimuamini na kumuunga mono wakati wa shida akumbuka hâta gazeti lake la Raïa Mwema. ilikua silikosi kila wiki.taratibu Alianza kujiondoa ktk siasa za upinzani na kushabikia utawala. bila shaka atakua kishaahidiwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

    mleta uzi huu si mwerevu na kama ni mjuzi hakuoanisha vyombo vya habari vinavyotoa nafasi sawa kwa wote na hasa kîle kinachoendeshwa kwa kodi zetu tbc kilivyojipiga muhuri wa ccm hâta kikaupa kisogo umma unaokiwezesha na watu werevu kama wewe mkajipa upofu na ukiziwi msione wala msisikie mabaya...
Back
Top Bottom