Recent content by korokwincho

  1. K

    Kodtec Speaker systems

    Hongera Sana mkuu kupata hyo SAMURAI PIONEER TS-3820 Ila hawa akina PIONEER TS-W8102 na TS -W5102 ndo WAZEE WA UKOO ndo top of the SPL subwoofers kwa pioneer Zinaenda hadi watts 3000rms ligi za akina sundown and ground zero subwoofers.
  2. K

    Kodtec Speaker systems

    Sijaona mkuu
  3. K

    Matatizo ya simu nyingi za Oppo, Redme na Vivo ni mafamba!!

    Nilinunua hpa hpa bongo ikiwa used in good condition
  4. K

    Matatizo ya simu nyingi za Oppo, Redme na Vivo ni mafamba!!

    Badi ngoja niisubirie Vivo x300 ultra hopely itakuja na Snapdragon 8 lite gen5
  5. K

    Matatizo ya simu nyingi za Oppo, Redme na Vivo ni mafamba!!

    Mkuu nimefanikiwa kuwa na ONE PLUS 12(GLOBAL VERSION), kiukweli sijawahi miliki simu Kali kama hii hasa upande wa display quality aloo! Hii LTPO AMOLED ni bonge moja ya screen very brightttt, upande wa charge nao uko vizuri yaani battery inakaa na charge vizuri Sana, na charging technology hii...
  6. K

    Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Dhumuni kuu ni TOP BEST CAMERA na LONG BATTERY LIFE+ ESIM na kibongo bongo naona 13r inacheza kwenye 1.2m tsh Naona oia real me GT 7 pro ni simu Kali Sana Kwa bei ya 1.4m
  7. K

    Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Mkuu hivi top flagship killer Kwa mwaka 24/25 Ni ipi? Maana naona reviews nyingi wanaipa one plus 13R.
  8. K

    Ni ipi tofauti ya simu za Redmi na Xiaomi?

    Bado sijafanya machaguo mkuu Nazivizia vivo x100/200 series zishuke shuke kidogo , maana naona upande wa camera zina rates nzuri sana
  9. K

    Msaada simu imetoa mistari

    Yaani ujue kuna watu washozoea kupigwa basi wanafikir kila mtu, hyo note 13 pro mpya sudhani kma inafika 800k
  10. K

    Msaada simu imetoa mistari

    Na vipi kuhusu Any suggestions Kwa milioni 1 used phone Kwa hvyo vigezo?
  11. K

    Msaada simu imetoa mistari

    Ni kweli natumia Sony Experia 5 mark 11 green line iko tayari
  12. K

    Msaada simu imetoa mistari

    Mkuu nimeona mtu anauza one plus 11 Kwa 900k ina storage ya 512 ila ni used vipi hpo panafaa?? Ama wewe nahitaji unishauri simu gani Kwa budget ya M1 iwe used ama mpya ila iko na FLAGSHIP CAMERA na GOOD BATTERY LIFE na storage walau 512 GB Nb. Samsung sihitaji kabisa wala iPhone.
  13. K

    Msaada simu imetoa mistari

    So kumbe hzi green line na pink lines ni kutoka vioo vya Samsung pekee basi nilijua ni kampuni zote za display wanna hili tatizo especially hzi one plus ndo naona wanacases nyingi mno za green line display So Samsung washafix hili tatizo kwa generation za mbele za vioo?
  14. K

    Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Hvi mkuu hzi One plus Ace 3 pro ni simu nzuri kulinganisha na bei zake??
Back
Top Bottom