Recent content by Koreen

  1. K

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Nimependa andiko lako...sahihisho kidogo "Tanzania hatupaswi kuangalia tulipoangukia bali tulipojikwaa" Huwezi kuanguka km haujajikwaa hivyo lzm tuangalie tumejikwaa wapi, tumejikwaa kwenye mikataba na sheria mbovu
  2. K

    Inauma: Tunalipa kodi kwa kufuata Sheria, lakini fedha zinatumika bila kufuata Sheria

    Mkuu sasa mbona uko jukwaa la siasa km siasa haufanyi? Ilibidi uwe jukwaa la mapenzi maana hakuna binadamu asiyependa Mtoa post namsapoti kwenye mada yake kuwa fedha zitumike kulingana na sheria ya fedha iliyotungwa na bunge kwa bajeti husika hili hata CAG aliona, tutafanyaje ukaguzi na udgibiti...
  3. K

    Tundu Lissu: Mahafali ya CHASO mkoa wa Dodoma (akifafanua juu ya rasilimali za nchi)

    Nyerere mwenyewe alishasema taifa linahitaji vijana wakorofi...ukimwelewa kwanza Nyerere then itakuwa rahisi kumwelewa Lissu
  4. K

    Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

    Jamani jamani naombeni ule mgawo wangu sasa elekezeni huko kwenye mrabaha, maana Ngosha anamaindi kinoma...nawaza tu kwa sauti
  5. K

    Kwanini Rais Dr. John Magufuli amezuia Dr. Kikwete na Ben Mkapa kujadiliwa kuhusu suala la madini?

    Wameyafanyia Taifa "mambo makubwa" ajabu yasiyoweza kuzungumzika..
  6. K

    Rais Magufuli ajadiliwa tena DW, kufungia magazeti mawili kunaweza kusababisha vikwazo nchini

    Tujaribu kuangalia mlolongo wakiutendaji hamna namna ambavyo hawa viongozi wa juu wasihusike ama mmoja kwa mmoja au kwa kutoa ushahidi kuwa hawa wanaotuhumiwa walitumia waledi wao vibaya katika kishauri viongozi wa juu bila kuzingatia maslahi ya Taifa...
  7. K

    Msukuma amshukia Chenge, Ngeleja na Kafumu, ahoji magereza ni kwa ajili ya Babu Seya tu?

    Chenge aliwahi kusema "visenti" ukijaribu kuangalia kwa kina hili neno "visenti" katika sentensi zake, hakuwa na maana hela hiyo ni kidogo bali ni kidogo saaana ukilinganisha na kile ambacho walioko juu yake wanapiga kupitia hiyo mikataba...ukimsikiliza Lowasa vizuri utaelewa kuwa Chenge alikuwa...
  8. K

    Shares za Acacia Mining PLC zapanda ghafla

    Nnachoshukuru Magu kapata "mwanaume"...
  9. K

    Wakili Tundu Lissu, tulikofika si pa kuzodoana. Tuko katika kushikamana!

    Yaan kamati km ilidesa maoni ys Lisu, mkulu kabaki kumwita msaliti ila hasemi huyu msaliti anafanya vitendo gani km kiashiria cha usaliti
  10. K

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Kazi ya Lissu nikuendelea kutia shaka katika dhamira ya mkulu ktk hii ishu ya mchanga, kama ilivyo kazi ya wakili kutia shaka juu ya ushahidi unaoletwa...kwa mtazamo wangu Lissu anaifanya hii kazi vyema kuendelea kutia shaka juhudi za mkuu...km mnakumbuka Lissu alisema tuibiwa kwenye sheria na...
Back
Top Bottom