Tundu Lissu: Mahafali ya CHASO mkoa wa Dodoma (akifafanua juu ya rasilimali za nchi)

Aanminnig kwenye principles, sasa ilikuwaje CHADEMA wakabadilisha Katiba inayoweka mwenyekiti wa maisha? Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu nzuri.
Pia ilikuwaje mtu aliyemwita fisadi Papa na jina Lake likawekwa website Ya chadema na yeye na Timu Ya vibaka wenzie akina mbowe mnyika msigwa godless lema asiye mungu na mbowe waliowaaminisha watanzania kuwa lowasa fisadi kwa miaka 20 ghafla waseme msafi na anastahili kugombea uraisi kupitia chadema bila hata kutoa apology statement kwa familia ya lowasa wala kwa watanzania? Lisu kibaka tena proffessional aliyejificha kwenye fani Ya uanasheria na uraisi wa TLS. Ni high level kibaka
 
Hunapoint nyingine kila comment unarudia rudia tu. Inawezekana hata chuo hujafika maana hata kuchambua vitu hajui. Invitation to treat hilo ndio neno pekee ulilokariri la kiingereza? Acha ujinga soma ufike chuo utajua jinsi ya kuchambua vitu.
Mambo Ya raslimali za nchi atuachie watoto wa Nyerere yeye akae na upuuzi wake wa kuwinda rushwa. Mzalendo yeyote kazi yake ni kuhakikisha pesa waliyoibiwa watanzania inarudi kwa gharama yoyote iwe waliibiwa kusheria or whatever ambao wako tayari hata kama ni kwankumwaga damu kuhakikisha watanzania wanapata haki yao. Tundu lisu na chadema hawaliwezi hilo stupid wakae mbali watupishe wazalendo
 
Analalamika juu ya nini leo kutoka kwenye mazuri yanayotendwa na serikali yetu?
Ungetaja hayo mazuri ungekuwa umefanya vema ili mabaya wakufahamishe. Nani hapendi mazuri? Na viongozi wa serikali kutenda lililo zuri sio hisani bali ni wajibu wa mamlaka waliyopewa.
 
Mambo Ya raslimali za nchi atuachie watoto wa Nyerere yeye akae na upuuzi wake wa kuwinda rushwa. Mzalendo yeyote kazi yake ni kuhakikisha pesa waliyoibiwa watanzania inarudi kwa gharama yoyote iwe waliibiwa kusheria or whatever ambao wako tayari hata kama ni kwankumwaga damu kuhakikisha watanzania wanapata haki yao. Tundu lisu na chadema hawaliwezi hilo stupid wakae mbali watupishe wazalendo
Umejiunga humu ili ulipwe so shut the F up
 
lissu: mkijifunza ujuaji mtakuwa raia bora na wazalendo wa kweli,,, na tafsri yangu ya uzalendo sio ile la akina magufuli bali ni obedience to principles and not to the government or president.....
====
Huu ni uhaini...unafundishaje vijana kuwa wakorofi kwa serikali?
Nyerere mwenyewe alishasema taifa linahitaji vijana wakorofi...ukimwelewa kwanza Nyerere then itakuwa rahisi kumwelewa Lissu
 
T
Umejiunga humu ili ulipwe so shut the F up
Tundu lisu elimu yake haisaidii wanyonge ambao hawajasoma kabisa au walioishia darasa la saba wasiojua sheria wala chochote Mungu amlaani yeye na familia yake na chadema wote wanaosimama upande wa wazungu wanaowaibia watanzania wasiojua chochote kuhusu mikataba. Mungu huko uliko simama na wanyonge ambao chadema na lisu wamekomaa kuhakikisha chao kinadhulumiwa kwa kisingizio cha sheria koko au chochote. Hakikisha Na uzifanye Familia zao ikiwemmo watoto wao kuishi maisha ya dhiki kuu wao na wazungu walioibia walalahoi nchi hii wasiosoma na wasiojua kitu. Mungu walipe lisu na chadema kwa kadri Ya uovu wao waliowafanyia watanzania ambao hawaelewi kitu ili waibiwe na wazungu. Amen
 
Umeongea point sana mkuu, na tuzidi kumuombea Tz afya njema.Huyu Lisu na chadema:
ndio waliosaini mikataba mibovu..
lisu na chadema ndio waliopeleka sheria za madini na gesi kwa hati ya dharura bungeni...
lisu na chadema ndio waliowafukuza upindani bungeni ili waitikie ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kiulaini...
lisu na chadema ndio waliodharau na kuponda maelekezo ya wapinzani wakat upinzani ulipopiga kele kuzuia mikata mibovu...
lisu na chadema ndio waliomweka Lisu na upinzani kolokoloni kwa kosa la kupinga mikataba mibovu.
lisu na chadema ndio wanaoigiza mazingaombwe ya uzalendo ili kukiinua chama cha makanikia(ccm).
lisu na chadema ndio matapeli wakubwa kwa miaka 20 kwa kuwatapeli watanzania kusainisha mikataba mibovu ya kuliibia taifa.
lisu na chadema ndio wanafanya usanii wa uzalendo ili waendelee kutapeli taifa miaka mingine mingi.
Lisu na chadema ndio wametutapeli ununuzi wa ndege mpaka CAG anaogopa kukagua taratibu za manunuzi.
lisu na chadema ndio waliosaini kuuza nyumba za serikali kwa bei ya sifuri.
Lisu na chadema ndio matapeli hatari wa tanzania kwa miaka zaidi ya 50, kwan wanataka kutumia uharamia walioufanya huko mwanzo ili kutafuta kiki ya kuendelea kutawala na kuendelea kufanya uharamia wa raslimali za nchi milele...whisho nch itabaki na mabua bila mbolea.
De Klerk wa chama kilekile cha kibaguzi cha makabulu wa Africa ya kusini na serikali ileile ya kibaguzi waliomfunga Mandela wa ANC maisha na wafuasi kibao kunyanyaswa na wengine kuuliwa, ndie aliyefuta siasa za kibaguzi Africa Kusini, kumfungulia Mandela na kukitambua chama cha ANC kama chama halali cha siasa na kuruhusu uchaguzi wa vyama vingi. Mandela alipotoka hakuangali jana, alijua kuishi jana ni kujipotezea muda, ANC ikashiriki uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulioandaliwa na chama kile kile cha kilichokuwa cha kibaguzi na ANC ikaibuka mshindi. Hatukumsikia Mandela na wenzake wakilalamika kuwa oooh sisi ndio tuliokuwa tunapinga ubaguzi kwa miaka yote kwa nini De Klerk ndio aondoe ubaguzi nchini, oooh alichofanya De Klerk ni kutuibia Sera zetu na mengi mengineo ambayo kama Mandela angekuwa kama akina Lissu angeyafanya na kuyasema. Alijua kuishi jana ni ujuha, kama unavyofanywa na CHADEMA. Wako busy kupekuwa makablasha ya mwaka 2007 ili kuuthibitisha kwamba anachofanya Magufuli ni Sera yao wanaibiwa mara tuliishauri serikali lakini haikutusikiliza. Ngoja nikwambie ukitoa ushauri, huo ushauri unakuwa mali ya yule uliyempa ushauri. Kutekeleza lini au kutokutekeleza ushauri wako hilo sio suala lako. Inapotokea ushauri wako ukatekelezwa si una kwenda Kanisani/ Msikitini kumshukuru Mungu na kutoa sadaka na kumuombea maisha marefu yule ambae amesikia kilio chenu cha muda mrefu. Sasa unapolalamika kwa nini ushauri wako unatekelezwa! Sijui unakuwa mtu wa aina gani kwani hata neno punguani halikutoshi. Mandela ambae hakutaka kuishi jana baada ya kushinda urais alisherehekea leo yake kwa kuoona kile alichokihangaikia na kumtesa kwa miaka nenda rudi leo kimetimia kupitia De Klerk wa chama kile kile kilichomtesa kwa kuunda tume ya maridhiano. Kama huijui waulize wenzako nimechoka kuandika. De Klerk na Mandela wakawa mashujaa wa Dunia na wakazadiwa (wakagawana) zawadi ya Nobel, kama huijui waulize wenzako. Nihitimishe kwa kuwashauri acheni kuishi jana huko ni kurudi nyuma, mtakapo fika leo mnafikiri wenzenu wa mbele kwa mbele mtawakuta wanasubiri hapo hapo! Hata hiyo namba hamtaiona na kuisoma zaidi ya kula vumbi.
 
Analalamika juu ya nini leo kutoka kwenye mazuri yanayotendwa na serikali yetu?
Umemuelewa anachokimaanisha kwa alichokitamka hapa chini?
lissu - Uzalendo wangu ni utiifu kwa nchi na sio serikali,, nchi na serikali ni vitu viwili tofauti,,, natii nchi na sio serikali kwani serikali ni hizi,,, za akina mkapa, magufuli na kikwete,,,,

Lissu - Sikuwa mtiifu kwa mkapa, sikuwa mtiifu kwa kikwete,, na sio mtiifu kwa magufuli bali ni mtiifu kwa nchi na principals,,,,

lissu - Nitasema ukweli hata kama nikibaki peke yangu
 
Back
Top Bottom