Msukuma amshukia Chenge, Ngeleja na Kafumu, ahoji magereza ni kwa ajili ya Babu Seya tu?

Msukuma wala asihangaike, hilo zee lililopo Bungeni lenye kiburi cha ufisadi litahojiwa iwe linataka au halitaki. Awamu Hii siyo sawa na zile zilizopita akidhani kuna watu wanamuogopa.

Mhalifu yoyote hawezi kufikishwa Court pasipo kupitia hatua za kipelelezi ambazo zinahusisha mahojiano pia. Kwa hiyo, hilo zee liache lijifariji tu.
Anahojiwa ili iweje?! Waliosimamia mikataba hamtaki hata majina yao kutajwa hadharani!!. Hapo kina Chenge hawana kesi vinginevyo itakuwa kama ya Mramba & Yona kufagia hospital kwa siku 2 na camera juu. Process hiyo ilipitia hatua zote likiwemo baraza la mawaziri na Maghufuli anajua hili.
 
Chenge aliwahi kusema "visenti" ukijaribu kuangalia kwa kina hili neno "visenti" katika sentensi zake, hakuwa na maana hela hiyo ni kidogo bali ni kidogo saaana ukilinganisha na kile ambacho walioko juu yake wanapiga kupitia hiyo mikataba...ukimsikiliza Lowasa vizuri utaelewa kuwa Chenge alikuwa mtu wakupewa maelekezo ila mikataba ilikwisha kuandaliwa na ili asipige mayowe anatulizwa na "visenti"
 
Kwamba ukitaka kumpaka shombo mtu, unampa musukuma hela ya supu ya kongoro basi kishamaliza kazi???Huwezi kua serious mkuu! Ivi unajua hao watu waliotajwa kuhusika ni mmoja tu Ndo anamzidi musukuma kipato??
msukuma hana hela yule,au ile helcopter aliyokodiwa na lowasa kwa wiki moja atembee nayo msukuma ndo inakuchanganya nini?,

hana hela yule
 
Ili uwe safi ni vema ukaanza kufagia uchafu ndani mwako ndio uende kwa jirani. Na hivyo nduvyo CCM inachokifanya awamu hii. Tusubiri na wale wa upande wa pili tuone na wao km watathubutu.
Usafi wa kufungia magazeti yanayoongea ukweli ?
 
Kwamba ukitaka kumpaka shombo mtu, unampa musukuma hela ya supu ya kongoro basi kishamaliza kazi???Huwezi kua serious mkuu! Ivi unajua hao watu waliotajwa kuhusika ni mmoja tu Ndo anamzidi musukuma kipato??
walikushirikisha kufungua accounts zao za bank ?
 
Mwanasheria anashauriwa na rais? Yye ndo alitakiwa amshauri rais
Acha kujitoa ufahamu

Amri na Ushauri ni vitu viwili tofauti

Hapo mmoja alikuwa anatoa USHAURI na mwingine anatoa AMRI
sasa nani mwenye ushawishi kati ya mtoa USHAURI na mtoa AMRI ?
 
U
Ndio maana tunataka katiba mpya. Kwa katiba iliyopo tutakuwa tunatangwa maji kwenye kinu.
until then, but now sheria itawahusu hao tu. Mwenye busara angejiuzulu kwa kukataa kusain asichokiamini ni maslahi ya umma lkn hakuna aliefanya hivyo that means wao ndio waliowapotosha maboss wao
 
Back
Top Bottom