Recent content by Kontoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake kama hawa, sahau kufanikiwa

    Maana yake ni kwamba, mwanamme ukifanikiwa lazima mwanamke aje. Mwanamke anakuja baada ya mafanikio siyo kabla ya mafanikio. Mwanamke hawezi kukufanya ufanikiwe hata siku moja. Mwanamke anapenda mwanamme aliyefanikiwa tuu.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

    Simpe imekaa kiwaki.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

    Simpe iwe ni neno la kiswahili lenye maana ya simp. Limekaa poa
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

    Makosa madogo madogo huwa hatujali. Mpe papa maisha yaendelee.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

    Wanaume huwa hatusamei tukivunjiwa heshima.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyie Nini huyu Mwanamke?

    Kosa utakalo lifanya ni kumuoa huyo mwanamke aliyetoa mimba Yako.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nimeoa but nina michepuko miwili tu, naombeni mawazo yenu

    Uko sahihi. Tatizo Dunia imehatibiwa na kirusi kuoa/ndoa. Mwanaume unapaswa focus Yako iwe katika kuongeza uzao wako. Kama una uwezo wa kuwahudumia wanawake, zaa nao kadri uwezavyo.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unajua kwamba huyo mke/mme uliye naye sasa sio wako?

    Hiki kitabu chako hakina miaka 200 toka kitungwe na wahuni. Inamaana miaka zaidi ya million ambayo binadamu kaishi duniani alikuwa haoi wala kuolewa?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Wanawake wenzako wakubaliane na wewe, ila mimi mwanamme siwezi kubali hizo sababu zako.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Hivyo ni visababu vyenu ili kujastify uhuni wenu. Kuwa na wapenzi wengi hakuna sababu ya kukosa mpenzi mwenye Hela au kuwa na mpenzi usiyempenda Bali ni hulka ya umalaya wenu. Hapo kwenye simu Yako una backup za kutosha, tiyari unajua nani anafuata baada ya uliyenaye.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Hii ni moja kati ya verse zenu za uongo. Huna tofauti na wenzako wasemao "ooo mimi Nina marafiki wengi wa kiume, marafiki wa kike ni wabinafsi na wambea"
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kinacho waponza Lissu na Chadema ni kutokujua hesabu. Nashauri Lissu ukitoka ndani rudi darasani ukasome upya hesabu

    Hizo hesabu za solving amicably alikuwa anazitumia mbowe ila hakufua dafu. Hesabu ya lissu inaenda kuleta matokeo chanya.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Ukioa mwanamke asiye bikra, % ya kuwa cheated ni kubwa mno. Cheating kwa mwanamke ni kuzika familia yake na ni point of no return. Kijana OA bikra.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Kwa kawaida, Kila Jamii huwa inajiona ni Bora kuliko Jamii nyingine. Wewe kama siyo mchagga ila ukaenda uchagani, ni lazima utabaguliwa. Wewe kama siyo mhaya, ukaenda uhayani ni lazima wakubague. Sasa changamoto huwa inakuja namna ya kuuza value za Jamii Yako kwa Jamii nyingine. Mfano values...
Back
Top Bottom