Recent content by Konte

  1. Konte

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Kitombile hapo juu amesema pesa za huo ujenzi hazipo kwenye hiyo bajeti kana kwamba bajeti tajwa ipo tayari.
  2. Konte

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Unamaanisha bajeti ya 2024/2025 ipo tayari?
  3. Konte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

    Simba la masimba Dangote[emoji445]
  4. Konte

    JamiiForums Tanzania Nimelazimika kula nyama mbichi ya ng'ombe leo. Madhara ni yapi?

    Tafuta punching bag weka ndani
  5. Konte

    JamiiForums Tanzania BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Mmiliki wa gari lolote lile liwe la Ulaya au la Japan anaweza kushindwa kumudu gharama za matengenezo na kulitelekeza garage. Idadi ya magari ya mjapani yaliyotelekezwa kwenye magarage ni mengi mno ukilinganisha na idadi ya magari ya Ulaya yaliyotelekezwa. Wote tunachemka.
  6. Konte

    JamiiForums Tanzania Mnaomiliki au wenye ujuzi na Gari la Volkswagen Touareg nawaomba

    Fundi amesema mafuta ambayo siyo machafu yanapatikana kwenye vituo gani vya mafuta? Au hakuna kabisa mafuta yasiyo machafu nchini?
  7. Konte

    JamiiForums Tanzania Mwalimu kutumikia kifungo cha maisha mara mbili na miaka 30 jela kwa kulawiti mwanafunzi

    Ni kifungo cha maisha, sio cha kifo.
  8. Konte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

    Ametahiriwa?
  9. Konte

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Si ajabu na wao wanakuona haujitambui
  10. Konte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

    Usipolala na huyo mwanamke huwa haupati kabisa madili ya pesa? Pengine hakuna uhusiano wowote kati ya madili unayopata na huyo mwanamke. Wewe tu ndo unaconnect.
  11. Konte

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Utafanyeje ukijikuta kwenye hii hali?

    Nampigia jirani namwambia aje nyumbani mara moja.
  12. Konte

    JamiiForums Tanzania Toyota Landcruiser TX-l gari ya kiume kweli kweli imesimamia ngapii

    Toyota Land Cruiser 150[emoji91]
  13. Konte

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka yaishiwa mafuta ya petroli

    Kuongezeka kwa usambazaji wa pesa kwa kawaida hupunguza viwango vya riba kitu ambacho huweka pesa zaidi mikononi mwa watumiaji, na hivyo kuchochea matumizi zaidi. Mahitaji/matumizi yakiwa makubwa kuliko uzalishaji, mfumuko wa bei utazidi kuongezea maradufu.
  14. Konte

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mkiwa na hasira au kuvurugwa kichwa mnafanyaje ili mkae sawa?

    Go for new/extra workout
  15. Konte

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka yaishiwa mafuta ya petroli

    Ukiachana na issue ya petrol Nchi imefirisika imeshindwa hata kulipa mishahara ya watumishi wa umma, serikali imelazimika kuprint pesa kwa ajili ya kuwalipa wafanyakazi, kitu ambacho ni hatari zaidi kwenye uchumi.
Back
Top Bottom