Recent content by kontakinte

  1. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

    Nchi yenyewe haina mila wala desturi utamlaumu Nani? unawezaje kumkataza mtu huyo wakati channel zinaonesha wamiss kuliko vile. upumbavu mtupu wamiss unatizama wewe unakaa na wazazi wako unafurahi na kutabasamu mbona hujapinga hata jamii forums wakakusikia na vyombo vya serekali vinaupa...
  2. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Naomba nikumbushwe MBIO ZA MWENGE NI KILA MWAKA AU IKOJE? IKIWA NI KILA MWAKA FIKIRIA ni miaka mingapi imepotea wakati izo hela ingekua zinapelekwa kuendesha shughuli za vijiji ikiwemo elimu na makaazi bora kwa wakulima ISINGESAIDIA. pia Hela hizo Zingefanyiwa jambo la Muhimu zaidi kwa maslahi...
  3. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

  4. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

    Is he deserve to be a leader ? Honestly: He is a leader of peace comparing to our Nape CCM and many others
  5. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Jussa Ladhu: Mamlaka Kamili Itapatikana Zanzibar siku moja baada ya Maalim Seif Hamad kuwa Rais

    IKIWA HOJA YAO NI MASLAHI YA NCHI YAO HAPANA TATIZO TATIZO SISI WATANGANYIKA NDIO WENYE KUTIWA FITNA NA SEREKALI YETU. Ikiwa Tanganyika anawapenda wazanzibari kwa nini asimtambulishe umoja wa mataifa akawa na kiti chake kwa maana nyengine na misaada yote ambayo itafika tanzania sasa inakua...
  6. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

    mr punjab: " they can't answer you the only thing you may be stoned with their a stupid words" what i can say you have already said: " the place for him is a mental hospital" and the hell fire is for those who have jeuri and kibri over others. May god grant us understandings. "amin"
  7. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

    Ukiwa ccm sera ya kwanza ni uwe mtu mweusi kinyume chake wakikupa nafasi ni kama bahati tu kwako. Ukitoka utaambiwa si muafrica. Ubaguzi wa rangi ya waafrica ni maovu yanayowageukia wenyewe maana kati ya hao wabaguzi wa rangi wanawapenda warabu na wazungu waolewe na wao. Lakini akiwa hajapata...
  8. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Uelewa hauzwi unapofikiria leo inabidi ufikirie na kesho: Tatizo umaskani ndio elimu ya wengi tanzania...unaipenda tanzania ata ukiona kosa utasema nchi yako haijakosea ! Labda unarust tafuta mbirimbi ule usafike usisi. Usifiri tanzania itakua salama endapo hatuwandei salama wengine...
  9. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    UKITAKA UELEWA UJUE HAUZWI UKIZUNGUMZIA KUHUSU UWINGI AU UCHACHE UTAKUA UNAKOSEA SANA. KUNA WATANZANIA WENGI WAPO UINGEREZA KULIKO WAINGEREZA WALIOKUEKO TANZANIA. JE WARUDISHE? IKIWA HOJA NI VIBALI TATIZO NI WAO AU NI NCHI YETU (TANZANIA) ..NA WEWE UNASHEREHEKEA! ikiwa wamalawi wanaishi...
  10. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Wanamacho lakini hawaoni wanamasikio lakini hawasikii wana mioyo lakini inakutu ndio tatizo: Ukisema ukweli utaambiwa huipenda nchi yako huwezi kumchukia mtu kisa amedai haki yake mbona hawakusema daresalaam ni yao? Kwa maana kuna uhusiano wa ukweli ndani yake
  11. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Kwa hio umekubali tumeiba nusu ya ziwa la nyasa....badae utasema lote ni la kwao
  12. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    je unafikiri watanzania hawaishi nje ya tanzania au unaona watanzania na wazuri tu kwa kua wewe ni mtanzania.. Huwezi ukatesa nchi nyengine ukategemea ukae salama nchini mwako. Elewa watakaoathirika zaidi ni raia wa pande zote mbili
  13. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Tanzania haya haya bakia na ukweli sasa.... Sehemu zilizochakachuliwa kua tanzania ni nyingi kila mwenye chake sasa imekua uwazi anataka chake. Zanzibar washaanza wanataka chao. Malawi na wao tayari karibu utasikia tanga na bagamoyo sijui kule bukoba ni vipi? Tanzania kipindi cha nyerere...
  14. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    usidhubutu kusema hivo...ZANZIBAR SI SEHEMU YA TANZANIA USHIKE ADABU YAKO. NI NCHI SHIRIKA JAPOKUA HATUNA NCHI INAYOITWA TANGANYIKA..TUMEUWA TANGANYIKA SASA TUNAJIBINAFSISHA TANZANIA..
  15. kontakinte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    ndio maana wanataka waachiwe wapumue kinachoshangaza wanan'gan'ganiwa NIAJE HAPA TUNAWACHUKIA HALAFU TUNAWALAZIMISHA THEN SISI NDIO WENYE MANENO ZANZIBAR NI NCHI NDOGO SANA NA INA WATU WACHACHE SANA, TANZANIA NI NCHI KUBWA NA INA WATU WENGI SANA HATA HIVYO UWEZO WA ZANZIBAR KUENDESHA NCHI...
Back
Top Bottom