Recent content by konkudeshu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Super Internet yenye kasi zaidi Tanzania

    Choose Vodacom as your dedicated internet partner and get speeds of up to 1 GB per second and a cost-effective data plan to suit your internet needs. Benefits -24/7 internet connection -Best-available technologies for city and remote -Speeds of up to 1 GB per second -Data plan to suit your...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCTV Camera Installation

    Tuna toa huduma za kufunga camera popote Tanzania na Zanzibar. Ofisini, Majumbani, Viwandani, Mashuleni, nk. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0773373839 Au fika ofisini kwetu Buza kanisani, Dar es salaam Bububu, Zanzibar
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dell vostro 15 5510 inauzwa 11th Gen Intel(R) Core(TM) i5-11320H @ 3.20GHz 2.50 GHz Installed RAM 8,00 GB

    Device name Dell Processor 11th Gen Intel(R) Core(TM) i5-11320H @ 3.20GHz 2.50 GHz Installed RAM 8,00 GB (7,74 GB usable) Device ID 3AB66106-97E6-4B71-83A9-AF26F47DD0D5 Product ID 00329-10380-00000-AA645 System type 64-bit operating system, x64-based processor Pen and touch...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    ushahidi wa (Video) hukumu bado. pia wakili sina.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    Ndio mimi ndie ninae shtakiwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    msaada ninao huitaji ni namna gani ya kufikisha ushahidi nilio nao wa shahidi kusema uongo?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    naichia vipi na ushahidi wa shahidi ninao mimi? nafikishaji huu ushahidi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo. Ushahidi wa yeye kusema uongo ninao na anakili kuwa kapewa pesa. Nichukue hatua gani msaada tafadhari?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

    Bro nitafute pm
  10. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mpaka private uulize hapa?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis nicheki pm tafàdhari
  12. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Bado una uhuni wazamani kiasi hicho tuna kuomba kuwa mstaharabu, kuna hata siku ulimtumia vocha? Utaratibu hata kwako una badilika ulishawai kutukuna kama hivi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    singanojr wewe ni mtu na heshima zako kama umafanya bahati mbaya kurudia unge tuomba radhi, kama ni kusudi basi sisi tuna shukuru.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Singanojr leo Jumatatu tupia muendelezo
  15. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand New SWISS TECH. 300,000 Pesa Feki Haipiti..

    300,000 mkuu ni mashine ya kuhesabu pesa
Back
Top Bottom