Hii haiwez husisha dar na mwz maana ni majiji makubwa na Yako smart but Ina deal mi majiji madogo kama Arusha,dodoma tena Kwa mbeya wangeongeza bajeti mbeya Ina Hali mbaya sana,, sewage system, at magar ya taka hayapit kuchukua taka zinanuka,,mpangilio hovyo usipokuw makin unakosa pakutokea...