Recent content by Kong xin cai

  1. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum ni mtandao mgumu sana kukua au kukukuza

    JF aje akiwa tayari amekua, hatulei wajinga huku
  2. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum ni mtandao mgumu sana kukua au kukukuza

    Acha kelele
  3. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

    kaka ndo mana nimesema unashida kubwa sana kuliko unayopambana kuitatua, sijasema sitaki uranium itumike, inshu ni kuzuia madhara kwa njia yako ya kupunguza half life. najua hutonielewa mana unashida tayar ambayo lazima itatuliwe ndo uje tuanze na hii ya umeme wa uranium.
  4. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

    nakushauri ukiwa rais anza kujitibia kwanza hilo tatizo; kwa ufupi tu; the energy that would be required to alter the decay rate(half life) would be greater than the enegy produced from nuclear plants, zipo elements ambazo zina half life chini ya second/dakika/hour n.k (radioisotopes used in...
  5. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    all the best fighter, Mungu akuongoze, Not easy, but it is possible
  6. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.

    Watu wengi hawajajua zaidi kuhusu AI,wengi ukiwaambia kuhus AI wanawaza chatgpt, lakn kumbe AI ni Zaidi ya hapo, smart phones zotee zinatumia AI tofaut yake ni scope of the inteligence, lakin kwa miaka hii imeonekana AI kukua kwa kazi baada ya kuanza kutengenezaa migumo inayoweza kujifunza...
  7. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.

    unaweza kusema hivo lakini ukisoma historia yake imeanzia mbali sana, its true that AI will never surpass its creator, but for those africans who are sitting in their rooms still holding traditional ways of working they will be swept away, speakin about AI creator, we're not speakin bout us...
  8. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.

    zipo AI-powered robots zinazoweza kufanya matibabu kama figo (transplant) and their efficiency is very high compared to human beings, I had a kidney transplant case where the patient were referred to India after some inconviniences here in africa, during the pricing negotitiaon, robotic kidney...
  9. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SIMBA SC: "NO REFORM, NO GAME", KIZAZI CHA MABADILIKO

    Ni masaa kadhaa tangu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF kutoa taarifa rasmi ya kuahirishwa kwa mchezo na 178 wa ligi kuu Tanzania bara huku mashabiki na wadau wa soka nchini wakiachwa vinywa wazi. Taarifa hii imekuja mara baada ya timu Simba Sc ikidai kuzuiwa kufanya mazoezi yao ya...
  10. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Kumbe naota!

    huenda upo kwenye pikipiki ya mgomba:D
  11. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Kumbe naota!

    pole kama ndoto angu imekukwaza
  12. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Kumbe naota!

    Ilipofika tarehe 21 Oktoba 2025, Tanzania ilikuwa katika hali ya taharuki. Mamilioni ya Watanzania walikuwa wanatazama kwa hamu kubwa tangazo rasmi la matokeo ya uchaguzi mkuu, uchaguzi ulioweka historia kwa kuwa na ushindani mkali zaidi kuwahi kutokea. Katika mitaa, vijiji, na miji mikubwa...
  13. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Janga linalo weza epukika

    cha msingi ukifahamu hilo, ujue kabisa wewe ni nani kenge au mamba, ili ukimuona kenge au mamba ujue jukumu lako. By the way hata hao wangelipwa ujira mdogo isingekufaidisha chochote if you r not doing anything for your economics, the world is not for the weaks. Mbona licha ya hizi nepotism...
  14. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Janga linalo weza epukika

    Ngoja tusubr mana mpka sasa upinzani wana 60% ya kuchukua gari, pengine watakuja na sera mpya
Back
Top Bottom