Recent content by kondegal

  1. kondegal

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

    Jamani kama uko hai hope unatukumbuka huku
  2. kondegal

    JamiiForums Tanzania Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

    kama wewe pia mkeo ataliwa nawewe usikie how it feel kuliwa mkeo so wengi wanakua wanalipa karma za waume zao
  3. kondegal

    JamiiForums Tanzania Ni watu maarufu wanasilimu kwa kasi bongo au watu kusilimu huambatana na kampeni kubwa ya matangazo?

    Wabillahi taufiq inatumiwa end of speech we umeanza nayo🤣🤣🤣... Snura hajabadili dini ni muislam amerudi kwenye mstari tu
  4. kondegal

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

    Wanaume mnapenda hekaheka za nafsi
  5. kondegal

    JamiiForums Tanzania Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Fanya sana Ibada...kua karibu na Mwenyeezi Mungu..ukijfikiria kujiua wafikirie wagonjwa walioko mahospotalini,wafikirie mayatima wanaoishi vituono wafikirie watoto wa mitaani Kisha mshukuru Mungu...
  6. kondegal

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    Yowe limekutoka :D
  7. kondegal

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amezidisha dharau

    HAKUPENDI
  8. kondegal

    JamiiForums Tanzania Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

    Nilikua naenda kazini sa3 narudi sasa 8 siku moja nilikua anampa maziwa ya baridi mtoto wangu wa miezi 5😢😢niliumia sana Ile siku hadi natamani niwe mama wa nyumbani nilee wanangu mwenyewe
  9. kondegal

    JamiiForums Tanzania Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Upo mkoa gani unalima mapapai au unaweza ukalima mkoa wowote hata Dar Es Salaam
  10. kondegal

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis vile vijiti vya dawa unaloweka ndani ya wiki halafu unapaka na kunywa vinapatikana/unavyo kwasasa? na kama hutojali hiyo dawa ya ngozi inaitwaje au inapatikana wapi?
  11. kondegal

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

    Mapenzi yanatesa vijana serikali iingilie kati...:)
  12. kondegal

    JamiiForums Tanzania Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

    Mi haijanitokea siku nyingi ia ilikua inanitokea kama miaka 8 au 6 iliyopita...ilikua inanitokea masikio yote mawaili then yanapona yenyewe sikujua chanzo nini maana hata baba yangu ilikua inamtokea miaka ya nyuma sana
  13. kondegal

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

    Tenga muda na mtoto wako uongee nae yani muongee kama wanaume asionewe onewe ajiamini ye ni mwnaume ..ongea na mama ake vizuri ikiwezekana atafutiwe dada wa kazi akae nae mtoto ale lishe bora..afu why unaonekana huna maamuzi yani huyo mama mtoto wako ana mkeo wote ndo wanakuamulia nawewe...
Back
Top Bottom