Mkuu, naunga hoja. Japo inasikitisha, kwakuwa hakuna sababu yoyoye inayo halalisha vifo, majeruhi, ukimbizi na mtafaruku unaosababisha watu kukimbia makazi yao.
WAUNGWANA WANASEMA, UKITAKA KUTAWALA JAMII YOYOTE, HAKIKISHA JAMII HUSIKA INASAHAU/INAPOTEZA ASILI YAKE, KUTOJALI MILA, TAMADUNI...