Recent content by komesha

  1. K

    Watanzania serikali tatu kwa manufaa ya nani?

    Nimeipitia rasimu ya katiba, haya maisha yalivyo magumu tukiongeza na rais wa tatu itakuaje, maana kuhudumia marais watatu wenye mawaziri kumi natano manaibu waziri 15 makatibu wakuu ,watu wa usalama Dar es Salaam tutakoma.Sioni kama tunahitaji marais watatu ukingizingatia hali halisi ya uchumi...
  2. K

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Tabby unabwabwaja kama mtu uliyekosa matumaini, sema tu nitajirekebisha we vipi? kama huduma zako mbovu watakuchamba tu . Watu wanataka amani na upendo wew unaleta mikwala wakati unategemea hela zao , Let love lead
  3. K

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Nakupongeza sana Sumba-wangu kwa kua muwazi, haya majitu kama martha ,Tabby and Suzie yapo kila kona duniani ni mapepo tu ,ujumbe umefika achana nayo.
  4. K

    Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

    Inaonyesha wameanza kupingana wenyewe.
  5. K

    Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

    Kuna haja ya kujua tafsiri sahihi iliyofichika juu ya uislam, haiwezekani wawe tatizo Duniani kote, huku al kaida, kule bokoharamu ,mara taleban ,Somalia nako.. na wengine wengi kama hao ni Mungu yupi huyo anayefurahia mauaji ya watu wasio na hatia.
Back
Top Bottom