Recent content by kombo mkuya

  1. K

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Waambie hao wapumbavu.oooh mara chama cha wachaga mara cha wakatolik.tumeshawazoea.wafa maji hao.
  2. K

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Waambie hao wapumbavu.oooh mara chama cha wajaga mara cha wakatolik.tumeshawazoea.wafa maji hao.
  3. K

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Mi naona ni bora tuachane na huyu mpumbavu kwa sababu tumeshaijua nia yake ya kuivuruga na kuisambaratisha chadema.shibuda tumeshashtuka baba.alafu acha kutishia vijana!
  4. K

    Mkulo na Khijjah kumbe walikuwa "wanapiga"!?

    acha wapige ila iko siku watarudisha jasho zetu.
  5. K

    Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    ni maneno ya wakosaji hayo broo acha wapige mayowe.
  6. K

    Waziri Mwandosya: Kikwete Angeniacha Nipumzike

    mi naona huyu MWANDOSYA anatuzuga tu kwani kama alijuaanataka kupumzika si angeomba kujihuzulu kabla ya baraza kubadilishwa mi naona ni umbea ty ACHA KUTUZUGA BROOO.
  7. K

    Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

    Si hyo heshma aliyopewa na chama cha magamba baada ya kutaka kwnda ccj.unajua ujinga ni heshima kwa wapumbavu.umenipata broo
  8. K

    Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

    Vaa gwanda nape.mbona una hofu sana bwana mkubwa au na wewe ni mmoja wapo unaogopa kutajwa?chama kimekufa hicho.soma alama za nyakati mbona wenzako wameanza we unaogopa nini nape?
  9. K

    Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

    we Nnauye umeshaishiwa na sera so ni bora ukaka kimya ili ulinde heshima yako,mbona una kiherehere sana au na wewe ni mmoja wapo unayetaka kuhamia CHADEMA?huna jipya NAPEEEEE...
  10. K

    Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA: Jeshi la polisi linaihujumu CCM?

    mi naona bora wawakamate tu kwani nadhani mungu kawapa upofu hawalioni hilo.acha watuongezee umaarufu.LA KUVUNDA HALINA UBANI.CCM KWISHNEIIIIII.
Back
Top Bottom