Recent content by kombo alawi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Harakati ya kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Ipewe nanani
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

    Alikuwa Muwakilishi Jimbo la Dimani kupitia CCM ,pia alikua Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu wakati wa Mh.Karume na Dkt Shein
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa wanawasonga tu hawa 19 yule mmoja wamemgwaya? Alisema Spika Ndugai

    Mmoja alisema ataanza kuwapiga mashangazi hatukusikia hata mmoja kulaani maneno yale
  4. K

    JamiiForums Tanzania Unyama uliofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Inna Lilah Wainna ilaihim Rajiuun AMESHAFARIKI TAYARI
  5. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli aistua Dunia kuhusu vipimo fake vya Corona!, Mombasa wagomea kupima Corona, wamtaja Magufuli amesaidia kustuka, wathibisha JPM is Right!

    Kama jiti ndo lishaingia Paskal wenzetu India na nchi nyengine wamevikataa vipimo ata kuingia nchini mwao kabla ya Magufuli sasa sijui nani aloiamsha dunia walokataa vipimo au sisi tulionunua baadae ndo tukaona vina walakini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Kama karantini ipo jimboni kwake naunga mkono Lakini kama haipo jimboni kwake unamuonea kuhusisha ruzuku na mfuko wa Jimbo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono juhudi za Mzee Karume kwenye Muungano. Bado moja kubwa

    Nchi Kavu, Usiaminishe watu uongo Zanzibar kuna Makanisa mengi sana yamejengwa ambayo hayaendani na waumini waliopo. nahili limepelekea kuwa na zamu za kusali makanisa hayo kwavile yanavyokosa waumini. wiki hii wanasali kanisa lile wiki ijayo wanaenda sehemu nyengine
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

    Uungwana kwanza wangelimjibu barua ,hata kama sivo anavyotaka yeye Lissu, akishapata jawabu tena ataamua mwenyewe. Nafkiri Paskali unajua utaratibu wa Kuandikiwa barua hasa ya maombi. Anaweza kuamua kurudi likitokea la kutokea hao Polisi watasema sisi hatukumjibu barua kafuata nini ilikua...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

    Hana hajakufuta uzi hio nikweli niwaziri wa SMZ ,na mwengine anadalili pia yupo karantini walisafiri pamoja
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

    johnthebaptist, Sawa mawazo yako lakini je uyo unaetaka wewe Mboe ashirikiane nae yupo tayari au unataka kumlaumu Mboe tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

    C Sote tutumie TTCL basi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Huu wimbo upo tokea 64 baada mapinduzi tu. Unasema hivi:- MUNGU ametubarikia Unguja na Pemba yote Sote tunashangiria Jamhuri kutuletea MUNGU ametubarikia Unguja na Pemba yoteee. lakini kama hujui kuuimba unaweza usiuelewe.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kidogo: Hivi kwanini baada ya TANU na ASP kuungana waliamua kujiita Chama Cha Mapinduzi ?

    TANU ilikua inaongozwa na waislamu, na ASP ilikua hivyohivyo ilipo anzishwa CCM Iliuwa mifumo yote ya harakati za vyama viwili hivi, hayo ndo Mapinduzi yaliofanyika kupindua Uislamu na CCM Kuwekwa chini ya CATHOLIC CHURCH MOVEMENT ambayo ndio CCM
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mzalendo namba moja Tanzania

    Kama tunayaona hatuhitaji kuambiwa
Back
Top Bottom