misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,642
- 9,338
SawaNadhani hujaelewa.
Tatizo hapa kwanini laini moja kwa mtandao?
Je laini moja kwa mtandao itapunguza fraud?
Na kama hii ndio itapunguza fraud, kuna haja gani ya kusajili laini kwa vidole na nida?
Je hawaoni jambo hili litaleta tatizo kitaifa kwa maana kwamba Watanzania watapoteza ajira, serikali itakosa mapato?
Kwanini serikali inajioita kuweka mapingamizi badala ya kuwezesha sector binafsi?
Je TTCL ingekua ndio namba moja, Je wangeleta sheria ya kipuuzi kama hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila na wewe mkuu ujanielewa maana nilimjibu mtu ambaye analahumu TCRA kuhusu katazo la kutosajiri ndugu na jamaa kupitia kitambulisho chake cha NIDA.
Kusajiri laini kwa vidole ni kuhakiki kile ulichokifanya NIDA kama kipo sahihi na pia kuweka kumbukumbu sawa kwenye mitandao ya simu.
Ndio FRAUD itapungua na kuisha kabisa maana watu walikuwa wanasajiri kwa namba upya baada ya kufanya tukio la kihalifu.
Kwani sekta binafsi imezuiwa kufanya biashara nchini?
Ni uongo na upotoshwaji kuhusu kusajiri simcard moja mtandao mmoja,kwamba ni ruhusa kumiliki simcard mbili kwa mtandao mmoja ila zaidi ya mbili kwa mtandao mmoja unapaswa ujaze fomu maalumu ueleze sababu za kuhitaji kumiliki simcard zaidi ya mbili.