Recent content by Kombe 21

  1. K

    Kwanini alinichukulia hadaa kupendana naye? Sasa inakuwa shida kumuacha?

    Kwa Dunia ya sasa hivi itakua ni unafiki anakufanyia mwisho wa siku atakuambia kua wewe ni mwanaume wa pili kumuingilia pindi utakapo kutana nae kimapenzi
  2. K

    Kugegeda mara1 kwa wiki

    Kuna ukweli ndani yake
  3. K

    Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Usipende kusikiliza malalamiko ya sehemu moja huwezi jua kua na yeye ndio chanzo cha migogoro ndani ya familia yake mara nyingi wanawake na watu wa kulalamika afu ni vigum mtu kueleza mapungufu yake hadharani
  4. K

    Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Kama umelelewa hivo semea moyo wako wengine tumelelewa Baba ndio alikua anachukua majukumu yote unapo sema familia nyingi wanawake ndio wanachukua jukum la kutunza familia sio kweli
  5. K

    Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Pole sana dada Dunia hii ni uwanja wa fitina cha msingi tumrudie alie tuumba
  6. K

    Baada ya kuoa mke wa pili mke wangu alibadili tabia yake mbaya

    Hizi ndoa zina changamoto nyingi. Nilimuo mke wangu mkubwa miaka minne iliyo pita mke wangu nilikua nampenda sana ila baadae alianza kubadilika na akawa na jeuri ya hali ya juu. Kielimu mimi ninadegree moja ila mke wangu ana mastars na nimuajiriwa ila mimi ninafanya kazi zangu binafsi. Kiufipi...
  7. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Dada yangu hata mi tatizo la kutoenda sana lilinikuta na nilikaanalo miezi miwili ila tatizo kubwa ilikua ni kutojiamini ikapelekea kuathirika kisakolojia nilienda paka hospitari daktari alinihoji mambo mengi baadae akaniambia nimeathilika kisakologia ilinitia moyo nikajingua sina tatizo huwezi...
  8. K

    Ijue Historia ya Al-Qaida

    Hii dunia ni uwanja wa fitina tumuombe mungu atuepushe na haya majanga
  9. K

    Ndoa ya wake wengi

    Swala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni maamuzi yako ila inahitajika kua na hekima na namna ya kuwalingania wake zako siku hizi watu wanajifanya kuoa mke mmoja lakini ukiangalia asilimia kubwa wanamiliki nyumba ndogo zaidi ya moja Babu zetu moja ya sababu zilizofanya waoe wake wengi walikua hawana...
  10. K

    Kuongezeka kwa familia zisizo na baba. Je, tatizo ni nini hasa?

    Mfumo wa maisha tuliyo nayo uaminifu na kuheshimiana katika mahusiano ya kifamilia kwa kiasi kikubwa sana umetoweka anasa zimekua nyingi mpaka watu wanasahau majukumu yao
  11. K

    Wanawake ni watu wa ajabu sana

    Jamani wanawake mungu alivyo waumba ni viumbe dhaifu sana kulingana na maumbile yake na mazingira ndo mana mungu akatuamlisha tuishi nao kwa upendo vilivile kwa uangalifu afu suala la kupenda vitabu vyote quruani na Biblia mwanamke ameamlishwa amtii mwanaume na mwanaume unatakiwa umpende kwa...
  12. K

    Wanawake ni watu wa ajabu sana

    Jamani wanawake mungu alivyo waumba ni viumbe dhaifu sana kulingana na maumbile yake na mazingira ndo mana mungu akatuamlisha tuishi nao kwa upendo vilivile kwa uangalifu afu suala la kupenda vitabu vyote quruani na Biblia mwanamke amealishwa amtii mwanaume na mwanaume unatakiwa umpende kwa...
  13. K

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Tuwacha police wafanye kazi yao. Moyo wa binadam ni kichaka mimi na wewe hatujui kiundani maisha yake kama anamakosa anapaswa adhibiwe kama wananchi wengine la msingi wasimfinyie fitina za kisiasa ila wamtendee haki kulinga na makosa watakayo mkuta nayo kulingana na sheria za Nchi na sio kubeza...
  14. K

    Mke wangu haniamini, nifanyaje?

    huyo atakua so mwaminifu kaka yangu make wake alikua name wivu Julio pitiliza mpaka ilikua keep baadae watu wakamtahadharisha kunauqezekano mkubwa make wake akawa so mwaminifu kwahiyo afanye uchunguzi baada ya kaka yangu kuanza kumfaatilia nyendo zake huwezi amino alicho kigundua alikua no...
Back
Top Bottom