Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wanawake ni watu wazuri sana nyie mnaowaponda wanawake mtakuwa na walakini. Mwanamke anataka kuheshimiwa na kusifiwa muda wote. Hio ndio nature.
 
Jamani wanawake mungu alivyo waumba ni viumbe dhaifu sana kulingana na maumbile yake na mazingira ndo mana mungu akatuamlisha tuishi nao kwa upendo vilivile kwa uangalifu afu suala la kupenda vitabu vyote quruani na Biblia mwanamke amealishwa amtii mwanaume na mwanaume unatakiwa umpende kwa mazingira haya hawa watu ni wa kuwaonea huruma siku zote ndo mana hupashwi kuchukua maamuzi magum bali unatakiwa kuwa na maamuzi ya hekima dhidi yao. Hawa viumbe ni pasua vijwa siku zote mmpende ujuavyo siku akikasilika au akipata mtu wa kumdanganya vyote anasahau ndani ya muda mfupi hawa viumbe ni mtihani mkubwa
 
Jamani wanawake mungu alivyo waumba ni viumbe dhaifu sana kulingana na maumbile yake na mazingira ndo mana mungu akatuamlisha tuishi nao kwa upendo vilivile kwa uangalifu afu suala la kupenda vitabu vyote quruani na Biblia mwanamke ameamlishwa amtii mwanaume na mwanaume unatakiwa umpende kwa mazingira haya hawa watu ni wa kuwaonea huruma siku zote ndo mana hupashwi kuchukua maamuzi magum bali unatakiwa kuwa na maamuzi ya hekima dhidi yao. Hawa viumbe ni pasua vijwa siku zote mmpende ujuavyo siku akikasilika au akipata mtu wa kumdanganya vyote anasahau ndani ya muda mfupi hawa viumbe ni mtihani mkubwa
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mwanamke ni kiumbe kilichotokana na ubavu...na kila mmoja wetu anafahamu kuwa ubavu haujanyooka na ukisema ulazimishe kuunyoosha utauvunja na ukiuacha ukiwa umepinda daima utakusumbua....kwa kutambua hilo muumba wetu akatuagiza kuwa tuishi nao kwa akili sana....
 
Ww ukitaka kumwoa mwambie sikuoi. Baadae unamwoa
 
Back
Top Bottom