Recent content by kombayo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka turudiane, alikuwa girlfriend wangu

    wewe ni mzinzi kwan hujui maana ya ndoa? tunza mkeo fikiria maendeleo sio mambo ya zamani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Haupo seriaz kwan uko too selective! Hv mume form six hawez kukupa ushauri wa kimaendelea na kukufikisha kileleni? wenye degree wameoa wote anza kulea wa mwaka wa kwanza ili awe wako.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

    shower pamoja
  4. K

    JamiiForums Tanzania NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

    No comment this is Africa and the problem of leadership.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke

    Big up
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jamani Mume wangu Ananiogopa...

    mtake radhi mwanaume angekuogopa angekutokea? hapo mimi naona tatizo ni huko kuplay dk 20 ushauri mpe pushkin vodca kabla ya game atakwenda dk 40.
  7. K

    JamiiForums Tanzania How sure are you kuwa uliye naye anakupenda???????

    Only God knows our future, mean time imani yako katika relationship ndio mpango mzima.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa Mungu?

    Jamaa mcha Munga nampa five, hakupenda dhambi kabla ya ndoa, labda tatizo hakumshauri binti vzuri ndio maana aliondoka na huzuni.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Help plizzzz

    sex sio nguvu na push up zako 100, mtoe out ongea naye taratibu na jibu atakupa mwenyewe jinsi gan anapenda m-do sio sisi member, remember wanawake wanatofautiana jinsi wanavyojisikia kunako majamboz!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume

    unataka ampende nani? mwanamke mwenzake kama sio mwanaume.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    kata mawasiliano na huyo gf, then vitendo ulivyokuwa unafurahia na huyo gf mweleze bf wako taratibu akufanyie, completely utamsahau huyo ex gf.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Inauma sana

    nawashangilia waongeze kasi ya ku-do
Back
Top Bottom