How sure are you kuwa uliye naye anakupenda??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How sure are you kuwa uliye naye anakupenda???????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzalendo wa ukweli, Oct 23, 2012.

 1. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi una ukakika gani kuwa uliye naye anakupenda wewe mwanajamvi mwenzangu? Do you think hawezi kubadilika as time goes? What if akija kubadilika, what will you do?????
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wanaume ni vinyonga
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  The only thing which l am sure of, is my love to him. Na kwa muda hii ndio ina matter!
   
 4. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hivi wanaume tu huwa wanaacha jaman? Kwani akina dada huwa hawaachi wanaume? Mi nadhani wote sawa,ni mtazamo tu lakini msije mkanipiga mawe
   
 5. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good point Kaunga but what about His love 4 u? Do you know anything or do you have any idea of his whereabouts?
   
 6. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,071
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  As long as i love myself, i can care for him n learn to love him.
  Sitaki kucomplicate if napendwa or not as long as am happy with watevr he does.
  Caring,Respect and myhappines matterz than 'love' tself for smtyms inaweza kuwa fake.
  Nataka ACTIONS, me ndo nitakokotoa mwenyewe. Ikiwa fake utajua,isipokidh viwango vya furaha na Amani yangu,pia ni rahisi,kuTAMBUA.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  I know that he loves me coz he told me.so. Hayo ya kubadilika, i will cross the bridge when i come to it.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Kama anakupenda atakulinda
   
 9. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ananiheshimu, ananijali, nikimhitaji yupo kwa ajili yangu. Kuna haja ya kuumiza kichwa kama ananipenda? Maana anaweza akawa hanipendi ila ananikubali, hio inatosha kabisa. Haya mahusiano ya kuchokoa kuona la zaidi na kuuliza maswali kama 'unanipenda?' ni ya wale watoto wanaojifunza.

  La msingi ni je yupo kwa ajili yako? Mengine yanafuata.
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  nipo kiutamu zaidi so sijali kama ananipenda au lah.....ila nikioa hapo sasa itabidi nijali
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,383
  Likes Received: 39,785
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,464
  Likes Received: 28,339
  Trophy Points: 280
  The phenomenon of love!
   
 13. HoneyBee

  HoneyBee JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  If he loves you, you will know it. Mapenzi si kwa maneno, bali kwa matendo. If he does everything right and you still question him then maybe you need to ask yourself if you love him. No one can see the future, so don't worry about it and live in the moment right now.
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,509
  Likes Received: 3,584
  Trophy Points: 280
  Mtu anayekupenda kwa kiwango stahili hujiona
  kapata mtu wa thamani na anayestahili. Hujiona
  kuwa huru kutembea naye mahali popote bila
  kificho. Hujisikia amani kumtambulisha mahala
  popote. Na mara nyingi huwa anaanza kwa watu
  wake wa karibu, kama vile ndugu na marafiki zake. Vip kuhusu wewe? Unajua marafiki wangapi wa
  mpenzi wako? Unawajua kwa namna ipi? Ni kwa
  kutambulishwa au kuwaona tu yuko nao pamoja?
  Akiwa anakupenda kweli atakutambulisha. Kama
  bado hujatambulishwa, jiulize ni kwa nini? Siku
  njema wapendwa
   
 15. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Well said dear...!
   
 16. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 484
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60

  Sio swala la kujua ila kuamini,,Moyo wa mtu kichaka
   
 17. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  I don't trust all women except my mum, she has never changed to me, i am her son and she is my mum. otherwise i don't believe any woman, women changes define themselves undefined.

  HAPA SINA UJANJA UKWELI WALLET YANGU INAPENDWA SANA KISA HAIJAWAHI KUKOSEKANA NA NOTI....BHAAAAAAAAAAS, HAKUNAGA MAPENZI YALE KUGANDANA ZAMA ZA KALE..........................
   
 18. andate

  andate JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ulichoandika hapo kia apply kwa wote kasoro kwa jirani yangu na rafiki yangu mmoja. Huyu jamaa hufanya hayo yote uliyoandika hapo. Kwa miaka 15 ambayo nimemfahahu ameisha-watambulisha wanawake 100+ kote huko ulikoeleza.
  Utadhani alichukua ideas zako kujifunza ni jinsi gani ya kuwateka akili.
  Mwanaume/Mwanamke anaweza akaishepu CV yake kwa kuangalia victim anataka afanyiwe vitu gani.
   
 19. k

  kombayo Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Only God knows our future, mean time imani yako katika relationship ndio mpango mzima.
   
 20. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok Kombayo Nimekupata,thanks kwa contribution ya idea zako.
   
Loading...