Recent content by KOMBAJR

  1. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    Mwigulu naye alifananishwa na Sokoine pia! Nyerere nilishamuona pia akifanya yafuaayo; 1. Akipiga push ups jukwaani 2. Akitokea juu ya roof 3. Akiruka ruka jukwaani
  2. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Mama Regina Lowassa wasimamishwa akielekea Mbeya

    Duh! Mama ni zaidi ya Mgombea hakika utautendea haki u first lady.Mungu azidi kukulinda.
  3. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe Spunda yuko ITV sasa hivi

    Msalimie! Mwambie Upepo Mabadiliko unaelekea pazuri asiache kuvote kwa Edo!
  4. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Nimesikia hivyo pia!
  5. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Misumari kwa kwenda Mbele! hakuna kuacha Ombwe na Habari! :A S 41:
  6. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    #Bring back our CDF Davis Mwamunyange
  7. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

    Nini kushinda Urais yeye kushinda ubunge hali ni tete!kupiga kampeni misikitini kisa alisponsor maujaji,kutoa kauli mbaya kwa mapadre airport kisa amekodi ndege kuleta wasanii kigoma siku ya ufunguzi wa kampeni yake. Na ikitokea akashindwa ubunge ndiyo itakuwa mwisho!
  8. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Picha ya chato hiyo wamefulia mbaya
  9. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru toka hadharani, madai ya hisa za wananchi kuuzwa

    Hii Ngoma ni nje ya ile ya Chama cha waalimu! Duh!!
  10. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru toka hadharani, madai ya hisa za wananchi kuuzwa

    Wanakamsemo Kao! Hapakazi tu
  11. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Mkuu Yericko upo? Kimya sana tumemiss nyuzi zako ..............
  12. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    I see Jaji Lubuva...... on the same Direction!!!!!:doh:
  13. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa MWANANCHI atimuliwa kampeni za John Magufuli

    Magufuli atakuwepo kwenye uzinduzi wa BRT?
  14. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

    Jitahidi umalize yale uliyopanga kupitia uchaguzi huu. Unawakilisha maoni yao na bosi wako lakini unawalisha maneno wakazi wa ubungo
  15. KOMBAJR

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Asante Sana Mkuu Ocampo four kijana wa goli la mkono anajipanga kutoa draw ya kurudisha kadi usishangae kusikia siku za karibu wanachama zaidi ya 2000 wamejiunga na ccm! Hahaha
Back
Top Bottom